Yeah, hao WC ni wachache sana kwa sasa.
Uchezaji wa Depay unanitia mashaka, ana showoff sana kuliko kazi anayotakiwa kuifanya.
Napenda how Young Ashley alivyo aggressive kwenye kupeleka mashambulizi mbele.
Nilikua nataka tufungwe Leo ..... Wacha nikupongeze wewe kuwa kwenye usukani
Unasahau bingwa Wa EPL lazima apige timu mbovu na hizo nzuri
Mfungwe ili BR aondokee?
Hahahaaaa mungu anasikiliza maombi yake
Usiniambie unafunga na kusali ili abaki
Expectation kwa huyu dogo zilikuwa kubwa sana,tatizo sio yeye tu angalia Mitrovic,Firmino,Pedro, Otamendi bado wanastrugle EPL sio nyepesi tatizo lake anapenda sana kukaa na mpira na mara nyingi anapoteza.I hope atakuja kutulia tu,so far LVG anafanya rotation vizuri sana
Sasa jee...mwacheni mzee astaafu timu ikishafanya vizuri illi apate zawadi
Ningependekeza awe anatokea bench. Ataweza kujipanga vizuri.