Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahahahaaaaaaa amezoea vya kukaba hahahaha...
hahahaha anatakiwa abadilike huyu
Hahahahaaaaaaa amezoea vya kukaba hahahaha...
Huyu mume wangu kufunga hataki kazi kukumbatia wenzake hahaha
Wenzetu miaka 30 washakuwa wababu duu sijui wanakula nn
Na DePay ni nani?
Wenzetu miaka 30 washakuwa wababu duu sijui wanakula nn
umri mkubwa kimpira,sio kwenye maisha ya kawaida.
Huyu mume wangu kufunga hataki kazi kukumbatia wenzake hahaha
Hahahahhaha kuwa na vyungu vitatu kama mimi .......
Hv sifa za depay zimekufia wap au ndio kawa kama chamack
Mrs Mcharoo...
Bora depay kuliko pedro
Pedro mweupe tuu hana inshu
Huyu mtoto akifikisha miaka 25 atakuwaje??!! Namuombea mema....