Nipe namba za simu za tanesco uko kwenu niongee nao hawatakata tena
Rooney nimepanda sana gol lake.
Jamaa bado ana mwendo
Hivi wew una matatizo gani? Ndicho kilishokuleta? Middle finger nyau wew kalia sasa..
Kwa kifupi mazoea na wew sitaki. Utakuwa umeelewa
Kumbuka Rooney sio striker.
Na sasa umri unaanza kumtupa mkono.
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Hivi wew una matatizo gani? Ndicho kilishokuleta? Middle finger nyau wew kalia sasa..
Kwa kifupi mazoea na wew sitaki. Utakuwa umeelewa
Huyu mume wangu kufunga hataki kazi kukumbatia wenzake hahaha
hahahaha atafunga kwenye UEFA