how do you like your grapes? its a big deal when everybody and their mama want you to lose and not firing all the cylinders. Ndio akina nyie nyie mliowapa chelse ubingwa by october na kuwarule united out of the title race.unbeaten? big bloody deal!
notingham forest did it, the gooners did it, etc ....so there's nothing new for the "manure" to brag about.
afterall there's a whole season ahead still and you have chelsea home & away, liverpool away, arsenal away.
come on manure!!
Imekujaje hapa?, tena leo?, Bad/poor timing pal. Au unaanza JF Mind game zako ktk safar ya kuelekea wazee wazima akina sie kubeba ndoo May?,
Bad Looser...!:laugh::laugh::laugh:
Ndugu yangu Wacha ,tatizo la France lilikuwa ni hiyo FA yao sijui kwa nini walimuongezea mkataba Raymond Domenich ambaye alisababisha mgawanyiko mkubwa kwenye timu pamoja na kuwaacha wachezaji kama Mexes,Frey,Benzema,Nasri.Simlaumu Blanc kwa kumuacha Evra sababu ameambiwa na Waziri wa Michezo jamaa asirudi lakini ukweli Evra ni beki bora wa kushoto hapa duniani
Hiyo ndio tofauti ya Chelsea na Manu wewe unawaza kuondoa bikra mimi nawaza kupata ubingwa wa 19
Duh, Leo kali mazee......sijui kama tutatoka.GLORY MAN UTD
Jamaa wapo bottom three kwahiyo their playing so hard kuuenjoy that moment..........Unakumbuka Blackpool? endelea kushikiria
Tumetoa draw 4-4 dhidi ya N'castle...poor refereeing imetucost...Ila hii ya scholes kutaka kufungia mikono ni kali zaidi.....Au ndo Ushindi Lazima????