Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Van Gaal anamlea vibaya mtoto wake wa Kidachi, alistahili Sub mapema tuu. Naanza kukosa imani na LvG japo ni mapema kusema hivi
 
BREAKING: Shaw has completed his
surgery. It is believed it was a 'clean
break'. Could be back before end of the
season. [mark ogden]
#MUFC
we will miss you shaw.
 
Mkuu basti yule sio DM kipindi anacheza Bayern mwanzoni alikua ni winger van gaal kambadilisha kuwa mid lakini sio deep lying mid bali ni box to box mid mwenye uwezo wa kupanda mbele kutoa pasi hata za mwisho tofauti na deep holding mid kama Carrick au Morgan wenyewe kazi kubwa ni kuharibu mipango pale kati kati, jaribu kukumbuka ile mechi utaona Mara nyingi wenyewe wakipata mpira ilikua ni rahisi sana kufika golini kwetu, much respect kwa smalling alifanya kazi kubwa sana ya kusaidiana na bast,

Anaweza kuwa sio pure holding but kwa game ya jana ndio ilimfaa kutokana na experience yake ya UEFA na umri.
Carrick na Morgan hawa wanafanana sana wazuri sana kwenye defence but sio wazuri kwenye kushambulia but Bastian ni mzuri kushambulia.
Kwa mtazamo wangu Bastian anafaa aanze game za Champions League kuliko za EPL(EPL kuna kasi yeye yuko slow) ,Morgan aanze EPL ana kasi na ligi kaizoea
tatizo kubwa la Man United lipo kwenye kutengeneza nafasi na kufunga sio kudefend
(Mata,Young,Depay,Bastian,Fellaini,Hererra ) hawatengenezi nafasi na kufunga magoli,game karibia zote tumeshindwa kuzimaliza wenyewe
 
Nonda ananijua vzr Yule nenda ukaona km anatawala jukwaa letu tena.... Yani nikumsasambua kwa nguvu km nguvu ya Ukawa.....

Jana ball possession ilikuwa ngapi? Na kona ngapi mlipata?

Unasemaje?
 

Attachments

  • 1442398596586.jpg
    1442398596586.jpg
    19.4 KB · Views: 135
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom