Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa nashangaa sana UEFA kuna waamuzi 5 lakini ndio makosa ya kijinga yanaongezeka,Kuna penati wamepewa Madrid mpira ummemgonga mgongoni mchezaji wa Shaktar refa kaweka penati

Ndio maana huwa unakuta timu za England zina-struggle EUFA. Marefa huwa wanapeta faulo ndogo ndogo EUFA ambazo England zinahesabika. Hii ya waamuzi 5 ni ya kipumbavu, unakuta faulo imefanyika machoni mwa official wa golini na bado haioni lol. Badala ya kuweka Camera's wanaweka vipofu....
 
Ama kweli mlikuwa mnamuhitaji DDG kuliko mnavyomuhitaji Rooney. Nyuma bado mpo mpo kwa sana. Beki ina kitete sijui kwa vile ni mechi ya kwanza UCL kwa muda mrefu? Mkiendelea hivi hivi UCL na katika ligi tutawasahau muda si mrefu.
 
BEK imekatika baada ya kutoka luke shaw kwan rojo kaingia kat na hajaelewana na smalling
 
Hahahaha noma kweli. Ngoja nisubiri stats za Next Henry nione kagusa mpira mara ngapi? Ebana beki yenu michosho sana. Hawa PSV kama wangecheza possession na pressing football wangeweza kuwaadhiri kuliko walivyofanya leo. Inaweza kuwa timu yenu ilikuwa na KITETE cha kurudi UCL baada ya kumiss msimu uliopita. Tusubiri tuone mechi ijayo mtafanya nini?
 
Ama kweli mlikuwa mnamuhitaji DDG kuliko mnavyomuhitaji Rooney. Nyuma bado mpo mpo kwa sana. Beki ina kitete sijui kwa vile ni mechi ya kwanza UCL kwa muda mrefu? Mkiendelea hivi hivi UCL na katika ligi tutawasahau muda si mrefu.

Asante Sheikh Yahaya ...
 
BEK imekatika baada ya kutoka luke shaw kwan rojo kaingia kat na hajaelewana na smalling

Kuumia kwa Shaw kumewatoa kabisa wachezaji mchezoni,Tatizo letu kubwa ni kutotengeneza nafasi za kufunga (Depay,Mata,Herrera,Bastian) wanahitaji kuimprove sana
 
Tatizo nililoliona ni kuwa PSV walikuwa wanapitia beki yenu ya kulia(Damian) kuliko kushoto kwa Blind. Kuingia kwa Rojo kumeharibu partnership ya Blind na Smalling. Rojo na Smalling walikuwa hawaonani kakma Smalling na Blind. Rojo akiendelea kucheza CB mtakuwa katika shida(endapo hatorekebika)
 
Hakuna u-sheikh Yahya wala nini. DDG ni bonge la kipa pia wa kutegemewa nadhani kuliko Rooney alivyo ndani.

Pale chini kuna maneno umetabiri ndo nikakwambia Asante Sheikh Yahaya wetu,Leo karibuni tucheze kigodoro pengine kesho kitahamia kwako......
 
Najikuta tu vidole vinanilazimisha kuandika hili jina Narsigh Narsigh Narsigh ila si maamuzi yangu

Btw poleni kwa kichapo mjipange game ijayo

Mtani najua leo ulikuwa timu PSV uliomba na kufunga tuchezeee ili upoze machungu yako ....lol.....Hongera naona mchepuko wako umekupa raha mpaka unakuja kuniringishia hahahaha
 
Back
Top Bottom