Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kavunjika mguu sehemu gani mkuu?
sijaona vizuri. roho inaniuma jembe langu limeumia
Kavunjika mguu sehemu gani mkuu?
sijaona vizuri. roho inaniuma jembe langu limeumia
Nimeishiwa hadi raha.
Acha nilale
Nionavyo mimi kiwango cha Elimu kimeshuka hasa ukizingatia sifa za walimu waliopo , miundo mbinu tuliyonayo na utekelezaji wa mipango tuipangayo kuhusu Elimu.
Kama vigezo vya kupanda kwa Elimu ni idadi ya wanaojiunga katika ngazi furani ya elimu basi Elimu ya Tanzania iko juu mno kulinganishana huko nyuma.
Angalia matokeo ya kidato cha nne kila mwaka tumekuwa na karibu asilimia 80 ya wanasemwa wamefaulu kuwa na daraja la nne.Daraja ambalo hata afanyeje labda ataenda ualimu kama ambavyo tumefanya miaka ya 90 na mwanzoni mwa mwaka 2000.
Madarasa yapo watoto hawasomi kwa kukosa walimu hiyo Elimu itapandaje, ili tendo la kujifunza liweze kufanyika ni lazima mwalimu awepo na mwanafunzi pamoja na mabo mengine kadha wa kadha wataalamu wa elimu wanaijua.
Tutaendelea siku nyingine.
Asante.
Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiii Depay
Mrs Depay hongera
Nini tena
Woiiiiii wamesawazisha huyu Moreno naye
Dogo Shaw amekuwa ni mmoja wa wachezaji walioanza msimu vizuri sana. Sasa yawezekana akakosa msimu wote, kama kweli kavunjika mguu.
Kuumia kwa Luke kumeniumiza mno.
Sina hata raha
Atakuwa kavunjika vibaya, mkuu. Uliona beki wa PSV alivyo-react kwa kukimbilia mbali hakutaka kuona yaliyotokea.