dogo ubishoo una mharibu, ange concentrate na mpira angekua anafanya vema, tatzo akipata mpira anawaza kupiga chenga ligi yenyewe EPL. kesho ningependa aanze young huyu dogo achome maindi benchi ili ajifunze
Young anafanya kile watu wanapenda, haya mbwebwe kama Memphis....imefikia kipindi sasa Memphis anzie bench kwanza apate adabu......
We missed this....A leader on the pitch...
Kwa £6.5M hapa ni thumbs up
View attachment 286532
View attachment 286533
Martial anaweza kucheza kulia au HerreraLeo mata atacheza kama namba kumi na striker atasimama fellain kama kawaida, sijui kulia ataanza nani mkuu?
Hii inabidi uwapelekee kwao waione vizuri
Hii inabidi uwapelekee kwao waione vizuri
Ningefurahi sana huyu angekua captain wetu!!!!
Martial anaweza kucheza kulia au Herrera