boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,034
Nadhani ujumbe utakua unamfikia tu kama sab anayopigwa alafu anakuta Young anafanya kile kinachopaswa kufanywa baadae akianzia bench ndio akili itamkaa sawa
Hyu Dogo ana mpira wa Show Game sana sometime anavyocheza utadhani yupo level za CR7 au Messi....Yaani kuja Pale O.T anajiona kama ndio CR7 mpya vile...Na hiyo tar 15 na ndugu zake PSV naomba hata asipangwe....aanze Young
Zile zama za mawe za katiIla ule mgoli wa benteke nataman ungekuwa ndo wetu.........ananikumbusha rooney zama za mawe....
Usingizi wa leo mtamu sana
Yokobus fc kapigwa
Looserfools tumewabonyeza
Ngoja nilale ili nisichelewe ibadani
Wakati mwingine depay anatia mauzi sana .....na kinachokera zaidi ye anacheka wakati ligi yenyewe ya uingereza
Usingizi ulikuwa mtamu sana ila dah!!! Nimepata masikitiko ya ghafla woote umekata , daaah!!!! RIP Mtoi
Usingizi ulikuwa mtamu sana ila dah!!! Nimepata masikitiko ya ghafla woote umekata , daaah!!!! RIP Mtoi
Ndio nani huyo
Alikuwa ni mwanachama hapa JF pia ni kada wa Chadema kule Tanga ,na alikuwa mgombea ubunge kwa jimbo la Lushoto.
Wapo ICU.
MAANA WOTE WAMECHAPWA TATU MOJA
Mkuu, muda mwingine ubishi hauna maana.Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.
Yule dogo ananikera sana, kila mpira anaopewa lazima ufie kwake. Enzi zile za babu Fergason mtu kama yule anakula benchi tu.Depay atakuja kirekebishwa japo anacheza kama hayuko kwny epl