Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FULL TIME: Manchester United 3-1 Liverpool

The first half was beyond appalling. But that second half delivered. United are deserved winners after it. Liverpool - one moment of genius from Benteke apart - were awful. But it looks like United have a new star in Anthony Martial. What a way to introduce yourself to the Premier League!

Share
6m ago19:20
90 min +3: See 90 min +2.

Share
6m ago19:20
90 min +2: Liverpool with plenty of the ball in the middle of the park. But they’re going nowhere
 
Martial flop come in.....! Where ar rubaman
Welcome to Manchester united Anthony Martial

Mtakubali tuu mwaka huu

Ana miaka 19

Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.
 
Hivi OG12, Sanchez, Ozil walicheza mechi yenu na majogoo wenye beki mbovu?
 
Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.

Hahaha mkubwa kubali yaishe.... wenzako wote wameshakubali... si unaona wakaangasumu hawagusi humu

Dogo anaujua.... angalia alivyowafungisha tela wale mabeki..... ana miaka 19 kumbuka
Pazi weekend inakwendaje?
 
Last edited by a moderator:
Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.

Duuuh! kwa hiyo wewe ni mtabiri wa viwango vya wachezaji au???
Kwanza mbona povu jingi sana🙄🙄
 
uploadfromtaptalk1442084301925.jpg
 
Hongereni Rogers :mad2: aende Southampton tu Tuanze Kuuza players kwa million 3-3 hakuna hata wachezaji wa invest Yule kuwapa watu midomo dah.
 
Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.

Duh! Hata kama #UkaangaSumu huu umezidi!

Hata kama ataflop, at least I will cherish the moment he scored the goal.

#Kimekuganda

ImageUploadedByJamiiForums1442084844.269429.jpg
 
Kwa beki kama ya Liverpool hata Zaha alifanya maovu two weeks ago. Itakuwa huyu mfaransa. Kama nilivyosema hakuna lolote hapa, tulishawaona kina Macheda waliishia wapi? Macheda mlikuwa mnamwita next nani vile DonDonald. Bebe naye mlikuwa mnamwita sijui next Black CR7. Muda si mrefu mtaanza kumtukana LVG kwa kumwaga pesa nyingi kwa dogo kama alivyomwaga kwa Di Maria msimu uliopita.

Chukua na hii, ili ulale nayo ImageUploadedByJamiiForums1442085127.242989.jpg
 
Back
Top Bottom