The next flop came in..Tusubiri tuone the confirmation baada ya wiki chache.
Kuna yule mchawi mmoja ( Paul Merson ) anaombea kweli jamaa warudishe ili utabiri wake utimieDuuuuuhhh siamini 2-0
Asante man u
Hawa Liverpool kama vile wameokotana mitaani. Wanaonekana kama vile hawajawahi kufanya tizi pamoja. Labda kuna ukweli wa alichosema Harry Redknapp kuwa hawatamaliza top 4.
Kwa majirani unakuwa msemaji mkuu huku kwako hadi magoli ndo uje???,hahaaa