Rooney hayupo
wanafurahia Rooney kutokuwepo wakati mata anaewatesa kila mechi yupo fiti, rojo nae leo anaweza kuanza au kutokea sub.
hope ataingia baadae. me pia leo nategemea ushindiNa martial sub..
Ila nategemea ushindi
Hawa Liverpool wanataka kuniaharibia wikiendi.