Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
DE GEA AGREES NEW CONTRACT
By-TrustyTransfers-1 hour agoRead time: 1 min-1,883 reads
With the news last night that Real Madrid will NOT attempt to sign De Gea in January, and Mendes, Daves agent, arriving at Carrington on Thursday morning. This has led to speculation that Spains #2 is ready put the past behind him and sign a new deal with the Old Trafford outfit.
According to Manchester correspondent Alex Stevens, who writes for footballinsider247.com, the Spanish shot stopper, David de Gea, has agreed in principle to sign a contract with Manchester United.
The-report-goes on to suggest that Dave will see his wages treble and will earn a whopping £220k per week, making him Uniteds second highest earner at the club, behind Englands new all-time leading goal scorer, Wayne Rooney.
Degea amesaini 4 years contract!
Degea amesaini 4 years contract!
Safiiii DDG. ......
Safiiii DDG. ......
Bravo to LVG and Woodward, Man United isn't like Everton or Porto
Walitegemea kupata bure
Bravo to LVG and Woodward, Man United isn't like Everton or Porto
Degea amesaini 4 years contract!
Nimeiona safi sana DDG huu ndo utu uzima bana na dau lako linapanda mara mbili.
Safiiii DDG. ......
Bravo to LVG and Woodward, Man United isn't like Everton or Porto
Walitegemea kupata bure
Three amigos to be released soon
David De Gea atauzwa summer.....Hii ni mbinu tu ya kufanya man utd wawe kwenye kushikilia mpini wakati wa makubaliano na Real Madrid. Timu itakuwa imekubaliana na DDG kumuuza summer ila asaini mkataba kwanza ili wawe kwenye strong position wakati wa makubaliano. Kumbuka CR7 alisaini mkataba ndio akauzwa.
kuuzwa msimu ujao sio ishu kubwa mkuu, ila itakua afadhari maana watatoa hela ya kueleweka, pili watakua wametupa muda wa kumtafuta mbadala, kuwa na romero kama ndio chaguo LA kwanza ni hatari,
pia anaweza asiondoke maana katika mkataba wake kuna kipengele cha kuongeza mwaka mmoja ikawa mitano, nadhani kusingekuwa na hicho kipengele kama watakua wamekubaliana kuondoka mwakani,
pia kwa mawazo yangu nahisi de gea kaamua kusaini mkataba ili apate muda wa kucheza Kwa ajili ya maandalizi ya euro mwakani maana sadhani kama yule mzee van gaal angekuwa anampanga endapo angekataa kusaini mkataba mpya,
pia kingine ninachowaza nahisi ni ushawishi wa wakala wake mendes kamshawishi ili atapokua anauzwa nae apate % yake maana angeondoka free mendes asingepata ulaji.
huo ni mtazamo wangu tu.
Na mimi hichi ndio nilikuwa nakitaka sio kumuuza kwa bei mbuzi kama ile au kuondoka kwa free. Amesaini mkataba hata hao wakija tena basi tuwapige pesa nzuriDavid De Gea atauzwa summer.....Hii ni mbinu tu ya kufanya man utd wawe kwenye kushikilia mpini wakati wa makubaliano na Real Madrid. Timu itakuwa imekubaliana na DDG kumuuza summer ila asaini mkataba kwanza ili wawe kwenye strong position wakati wa makubaliano. Kumbuka CR7 alisaini mkataba ndio akauzwa.