Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaaa....nicheke Nakapanya mimi,niliposema chini ya LVG Man Utd haitopata mafanikio yoyote watu walinibeza humu,leo wenyewe wameanza kuuona ukweli.

LVG hagai kuendelea kuwepo Man Utd,na tukiendelea kumshikiria basi tusahau mafanikio.

#SAYNOTOLVG
Hiyo rekodi yake haiwezi kuisaidia Man Utd kwa vyovyote vile,LVG ni mtu wa hovyohovyo tuu.He better quit
Unapendekeza nani achukue nafasi ya LGV?

Huyu ....panya anaengalia mechi kupitia tv tu?
Uko juu comrade,huwa unahudhuria live matches pale OT,Emirates,Stamford Bridge etc.....hongera sana
Dugu ..kapanya umeshindwa kuona swali la msingi.
Halikuwa lengo kusema kuwa Nonda anaenda OT au Msimbazi kuangalia mechi za mpira.

Swali la msingi ni je wewe Na...panya umeshawahi kucheza mpira? Umeshawahi kufundisha kucheza mpira wa miguu?

LVG ana historia ya kufundisha kandanda na amejitwalia mataji, Leo ...panya anatokea kutoka mashimoni tu na kusema LVG hafai, si kocha. ni mtu wa hovyo hovyo tu.

Waliomwajiri walimwokota jalalani tu?

Je Man. United ya leo ni ile aliyoiacha D.Moyes?

Je LVG aliamua kuacha kufundisha timu ipi ili kuchukua kibarua cha kuifundisha timu ya mashetani wekunduuu?
 
UEFA champions League Manchester United squad uploadfromtaptalk1441229038480.png
 
Squad in full
GOALKEEPERS - David de Gea, Sergio
Romero, Sam Johnstone
DEFENDERS - Phil Jones, Marcos
Rojo, Chris Smalling, Luke Shaw,
Guillermo Varela, Paddy McNair,
Matteo Darmian
MIDFIELDERS - Michael Carrick, Daley
Blind, Ashley Young, Ander Herrera,
Nick Powell, Antonio Valencia,
Marouane Fellaini, Morgan
Schneiderlin, Bastian Schweinsteiger,
Jesse Lingard, Andreas Pereira
FORWARDS - Memphis Depay, Juan
Mata, Anthony Martial, Wayne
Rooney, James Wilson
 
Squad in full
GOALKEEPERS - David de Gea, Sergio
Romero, Sam Johnstone
DEFENDERS - Phil Jones, Marcos
Rojo, Chris Smalling, Luke Shaw,
Guillermo Varela, Paddy McNair,
Matteo Darmian
MIDFIELDERS - Michael Carrick, Daley
Blind, Ashley Young, Ander Herrera,
Nick Powell, Antonio Valencia,
Marouane Fellaini, Morgan
Schneiderlin, Bastian Schweinsteiger,
Jesse Lingard, Andreas Pereira
FORWARDS - Memphis Depay, Juan
Mata, Anthony Martial, Wayne
Rooney, James Wilson
Fantastic squad,we can go all the way to the final with this squad because it's made up of young blood and experienced players.
 
Fantastic squad,we can go all the way to the final with this squad because it's made up of young blood and experienced players.
Mkuu tuendelee tu kujipa moyo na hiki kikosi chetu lakin sidhani kama kita-perform vizur kama ww unavyokisifu.
Mkuu yaani nikikumbuka ile game ya epl dhidi ya swansea city nachoka kabisa, foward yetu mbovu haina tofaut na foward line ya simba.
Atleast sehemu ya kiungo inacheza vizuri, beki inacheza vizur ila beki ya kulia kwa Darmian haipandishi timu mbele.
Man u forever......
 
Mkuu tuendelee tu kujipa moyo na hiki kikosi chetu lakin sidhani kama kita-perform vizur kama ww unavyokisifu.
Mkuu yaani nikikumbuka ile game ya epl dhidi ya swansea city nachoka kabisa, foward yetu mbovu haina tofaut na foward line ya simba.
Atleast sehemu ya kiungo inacheza vizuri, beki inacheza vizur ila beki ya kulia kwa Darmian haipandishi timu mbele.
Man u forever......

tujipe moyo tu. ndo timu yetu hamna namna ndugu
 
Manutd pale mbele wanajitaji mshambuliaji wa level za akina Kun Aguero, Z. Ibrahimovic, T.Muller, E. Cavan, Robben, waachane na Rooney, na watoto wadogo ka Martial......hapo tutajigerentii ushindi
 
Kuna sehemu nimesoma wanasema De Gea anataka kusign mkataba mpya.
 
Manchester United
Premier League squad

25 Squad players (*=Home grown)
Blind, Daley
*Carrick, Michael
Darmian, Matteo
De Gea Quintana, David
Fellaini-Bakkioui, Marouane
Herrera Aguera, Ander
*Johnstone, Samuel Luke
*Jones, Philip Anthony
*Keane, William David
*Lingard, Jesse Ellis
Mata Garcia, Juan Manuel
Rojo, Faustino Marcos Alberto
Romero, Sergio German
*Rooney, Wayne Mark
*Schneiderlin, Morgan
Schweinsteiger, Bastian
*Smalling, Christopher
Valdes Arribas, Victor
Valencia Mosquera, Luis Antonio
Varela Olivera, Guillermo
*Young, Ashley Simon

Good news ni kwamba valdes nae kajumuishwa kwenye kikosi, ningependa sana angekua namba mbili wa de gea.
 
Under-21 players (Contract and Scholars)


Blackett, Tyler Nathan
Borthwick-Jackson, Cameron Jake
Byrne, Oliver Joseph
Castro Pereira, Joel
Dinis Dearnley, Zachary Harry
Depay, Memphis
Diedrick-Roberts, Kayne Leevi
Dorrington, George Edward
Doughty, Joshua Anders
Dunne, James Gerard
El-Fitouri, Sadik
Fletcher, Ashley Michael
Fosu-Mensah, Evans Timothy Fosu
Goss, Sean Richard
Gribbin, Callum Anthony
Grimshaw, Liam David
Hamilton, Ethan Billy
Harrop, Joshua Andrew
Henderson, Dean Bradley
Hoelgebaum Pereira, Andreas Hugo
Januzaj, Adnan
Johnson, Travis Conroy
Kehinde, Tosin Samuel
Kenyon, Jake Barry
Love, Donald Alistair
Makela, Faustin
Martial, Anthony Joran
McNair, Patrick James Coleman
Mctominay, Scott
Mitchell, Demetri Karim
O'Hara, Kieran Michael
Pearson, Benjamin David
Poole, Regan Leslie
Powell, Nicholas Edward
Rashford, Marcus
Rathbone, Oliver Michael
Redmond, Devonte Vincent
Reid, Tyler
Riley, Joe
Rothwell, Joseph Matthew
Scott, Charlie Thomas
Shaw, Luke Paul Hoare
Tuanzebe, Axel
Warren, Tyrell Nathaniel
Weir, James Michael
Whelan, Callum Tyler
Williams, Ro-Shaun Oman
Willock, Matthew
Wilson, James Antony
 
Number of homegrown players in each 25
man squad (note that players like Shaw,
Sterling and Gomez are in the U21
sections so won't be in the figures
below):

1. AFC Bournemouth - 18
2. Norwich City - 16
3. Sunderland - 15
4. Crystal Palace - 14
5. Leicester City - 14
6. West Bromwich Albion - 13
7. Aston Villa - 12
8. Everton - 12
9. Stoke City - 11
10. Swansea City - 11
11. West Ham United - 11
12. Manchester United - 9
13. Newcastle United - 9
14. Tottenham Hotspur - 9
15. Liverpool - 8
16. Southampton - 8
17. Arsenal - 7
18. Watford - 7
19. Chelsea - 5
20. Manchester City - 4
 
Fantastic squad,we can go all the way to the final with this squad because it's made up of young blood and experienced players.

What!!! Are you kidding me??? The squad has NO forward to rely upon. Rooney .....holly No. There is No final at all as for my view
 
naangalia kina blind na mephis wanavoadhirika na Iceland. Holland 0 Iceland 1
 
Duh wanafanana
 

Attachments

  • 1441388959156.jpg
    1441388959156.jpg
    27.3 KB · Views: 428
Duh wanafanana

Hawafanani wala nini. Moyes is better. Timu yake ilitumia pesa chache na bado ana results zinazolingana na LVG aliyevunja benki. Man Utd wangekaa naye sasa hivi ingekuwa stable kuliko ilivyo.
 
Back
Top Bottom