Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Van Gaal amemuonea sana DeGea.
Haikuwa fair.

LVG hana kosa kwenye issue ya De Gea, now kila tatizo anatupiwa yeye. Real Madrid waliambiwa walete hela siku nyingi but wakagoma wakasema atakuja free next season. Nashangaa wamekuja kukurupuka siku ya deadline
 
Hivi hii inshu ni revenge ya Fabio Contrao na Ramos...?

Coentrao hakuwa priority ya Man United, Ramos alitaka kuongezewa mshahara na Perez hakutaka kuhama na mwisho alipata amount ambayo mwanzo Perez aligoma kumpa
 
Madrid ndio wamechelewa kupeleka docs kwenye chama cha mpira uko spain lakini machine za FIFA zinaonyesha man u walituma docs kabla ya deadline kufika. Ndio maana madrid wameomba rufaa kupitia FIFA kuweza fanikisha De gea asajiriwe ila bado inaoneka imeshakua ngumu
 
Ukitaka kutuma taarifa unazohisi ni za uongo au uchochezi, Anza na neno NIMEOTA ili usikamatwe. Maana hakuna sheria inayokataza kuota au kuhadithia ndoto.

Cc. Mashabiki wenzangu wenye nyota ya segerea
 
Inavyoelekea Madrid walikuwa hawamtaki DDG kama alivyokuwa anawataka. Normally hawa jamaa wakimtakaga mchezaji huwa hawasikii wala hawaoni hadi wamemsajili lakini kwa DDG walikuwa mguu nje ndani. Sasa DDG yupo katika wakati mgumu, hataki kuendelea kuwa Manchester United then hatoweza kucheza mechi nyingi au muhimu unless makipa wengine wawe majeruhi.Anyway, january Madrid watampata kwa less money waliyotakiwa kulipa jana ama sivyo ndiyo ataondoka free mwezi wa 6 mwakani. Kitu kingine huyu jamaa anaweza kujuta kuhamia Real Madrid sababu jamaa wana historia ya kutaka wachezaji kwa udi na uvumba then wanawatema baada ya msimu mmoja au nusu msimu mfano kina Reyes, Thomas Gravesen etc. Hata hivyo ni bora kukimbia meli inayozama(Manchester United) kuliko kung'ang'ania kama vile wewe ndiyo mmiliki.
 
"Kocha wa United Van Gaal ameshangazwa na kinda huyo kwa muda sasa japo Monaco walikataa kumuuza alikuwa anafukuziwa na vilabu vya Tottenham, Juventus na Chelsea.Kocha huyo wa Kiholanzi anaamini kuwa mshambuliaji huyo anakiwango kizuri na amekuwa ni moja kati ya washambuliaji wakali barani Ulaya akiwa amefuatiliwa na ma-scout wengi msimu uliopita.Van Gaal alimwambia makamu mwenyekiti wa United Ed Woodward kuhakikisha mazungumzo yanakamilika mwishoni mwa wiki iliyopita ili kuinasa saini ya mchezaji huyo ambae staili yake ya uchezaji inafananishwa na ilie ya Thiery Henry."
Duh hapo ndio kocha wenu ananiacha hoi ivi stats zake zinaonyesha Monaco ame-appear kama gemu 50 tu na last season kwenye gemu 19 alikua na goli 9 hapo ni Ligue 1 ikumbukwe,Martial ni promising player sio complete player na Utd kwa sasa wanahitaji mtu mwenye njaa haswaa pale mbele hawa promising players uwa wapuuzii sana unamlea akibalehe kanafikiria Barca na Madrid,bado siamini Utd wametoa mpunga wote kwa Martial kweli hii ni PANIC BUY.
Muda ni kitu umuhimu ngoja tuone nini dogo anaweza kufanya pale EPL na hongereni UTD maana sasa ivi mna Henry na Ronaldo(Martial na Depay respectively)
 
Inavyoelekea Madrid walikuwa hawamtaki DDG kama alivyokuwa anawataka. Normally hawa jamaa wakimtakaga mchezaji huwa hawasikii wala hawaoni hadi wamemsajili lakini kwa DDG walikuwa mguu nje ndani. Sasa DDG yupo katika wakati mgumu, hataki kuendelea kuwa Manchester United then hatoweza kucheza mechi nyingi au muhimu unless makipa wengine wawe majeruhi.Anyway, january Madrid watampata kwa less money waliyotakiwa kulipa jana ama sivyo ndiyo ataondoka free mwezi wa 6 mwakani. Kitu kingine huyu jamaa anaweza kujuta kuhamia Real Madrid sababu jamaa wana historia ya kutaka wachezaji kwa udi na uvumba then wanawatema baada ya msimu mmoja au nusu msimu mfano kina Reyes, Thomas Gravesen etc. Hata hivyo ni bora kukimbia meli inayozama(Manchester United) kuliko kung'ang'ania kama vile wewe ndiyo mmiliki.

Decision za Perez nyingi ni za kibiashara ,Madrid walikuwa hawashindwi kutoa hiyo hela na Navas alishatulia baada ya Iker kuondoka,nashangaa why walisubiri siku ya deadline hapa atakayeumia ni De Gea. Nimeanza kumchukia LVG but kwenye hii issue amekuwa very smart Man United sio timu kama Sunderland au Porto ukitaka mchezaji wakati wowote unampata
 
Umeiona Report ya R.M ? Wanadai MU ndo wamefamya swala gumu na kwamba eti MU ndo wamekubali jana kuanza mazungumzo na kwmb kila kitu akimaliza on time.
 
Perez lazima atafute sababu kuwatuliza mashabiki wao, LVG alishasema kabla hata preseason haijaanza walete €40 De Gea angekuwa mchezaji wao. Wao walisema hawawezi toa hiyo hela wanamsubiri free next season
 
Coentrao hakuwa priority ya Man United, Ramos alitaka kuongezewa mshahara na Perez hakutaka kuhama na mwisho alipata amount ambayo mwanzo Perez aligoma kumpa
Coentrao ninae mzungunzia ni wa kipindi cha DM mwezi January na sio LVG kipindi kile MAN u walikuwa wanamtaka kuziba pengo la Evra ambae alitaka kuondoka mwishoni mwa msimu ule na hapo ilikuwa ni kabla yakumsajili Shaw...Coentrao angekuwa mchezaji wa Man U ila firigisu firigisu zilifanyika tukashindwa kumchukua
 
Decision za Perez nyingi ni za kibiashara ,Madrid walikuwa hawashindwi kutoa hiyo hela na Navas alishatulia baada ya Iker kuondoka,nashangaa why walisubiri siku ya deadline hapa atakayeumia ni De Gea. Nimeanza kumchukia LVG but kwenye hii issue amekuwa very smart Man United sio timu kama Sunderland au Porto ukitaka mchezaji wakati wowote unampata

Pesa Man Ut waliyotaka mwanzoni ilikuwa £35M wakagoma kuitoa, jana wakakubaliana(Man Utd & RM) 29M wakakubali, kilichoharibika sijui ni nini. Sasa hivi ni blame game wao wanasema Man Utd wamechelewesha, Man Utd wanasema RM ndio wana makosa ya kuchelewa. Tusubiri tuone ukweli baada ya muda wa usajili kuisha.
 
Coentrao ninae mzungunzia ni wa kipindi cha DM mwezi January na sio LVG kipindi kile MAN u walikuwa wanamtaka kuziba pengo la Evra ambae alitaka kuondoka mwishoni mwa msimu ule na hapo ilikuwa ni kabla yakumsajili Shaw...Coentrao angekuwa mchezaji wa Man U ila firigisu firigisu zilifanyika tukashindwa kumchukua

Issue ya Coentrao ni kwamba Madrid walitaka aondoke but walitaka wapate replacement kwanza so replacement haikufanyika on time deal likafa
 
Pesa Man Ut waliyotaka mwanzoni ilikuwa £35M wakagoma kuitoa, jana wakakubaliana(Man Utd & RM) 29M wakakubali, kilichoharibika sijui ni nini. Sasa hivi ni blame game wao wanasema Man Utd wamechelewesha, Man Utd wanasema RM ndio wana makosa ya kuchelewa. Tusubiri tuone ukweli baada ya muda wa usajili kuisha.

Perez anatafuta sababu kuwatuliza mashabiki,walikuwa na 3 month kumaliza hilo deal ndio maana hata LVG hakumchezesha game za mwanzo
 
DSTV WAPANDISHA BEI TENA!!!!
Kuanzia Oct 1 ni Tsh 219000 duh wanatunyonya Lisa EPL
 
Pyeeeeeeeeee!!!!!! Wakwende zao mimi tokea mwezi huu wameniboa sana,nilipiga mahesabu juzi hela nilizowekeza kwao nilichoka !!! Bora ununue bando lako si hawa mafisad
 
Na mechi zenyewe za mieleka haaaaaaa
Azam wapo poa kuna LA Liga game kamili..Ligue 1,,Bundesliga game moja moja halafu vibandani kucheki EPL YAO 700/1000 Tsh
 
Si ndo hapo!! Kuna bar nyingine nzuri tu za kistaarabu unacheki na kapepsi kako kamoja maisha yanaenda, Starehe gharama ila kwa hili hapana aisee!!!! Wakwende zao wanyonyaji hawa!!!!!
 
uploadfromtaptalk1441125454803.png
 
Back
Top Bottom