Well said. On addition to tht, base on facts, mchezaji akishakuwa na yellow card bears some kind of protection from the ref asipewe another yellow kwa incidence inayofwata, at least akicheza faulo mbili, thts why we normally sees refs wanakuwa wanamhesabiwa na kumwambia kuwa 'ukicheza nyingine, nakulamba njano/red moja kwa moja'.Hivi we wacha uliangalia mechi kweli? Rafael hakuwa na intention ya kumfanyia foul mchezaji, hizo sheria ulizopost ni general guidlines do they cover accidents kama iliyotokea kwa Rafael? No. Eti huo ndio unaita ushahidi wa kujustify ya kadi aliyopewa gtfoh, tuwekee instant replay from both angles(ushahidi) otherwise stick kwenye kucopy and paste habari na picha za the sun.
Hivi we wacha uliangalia mechi kweli? Rafael hakuwa na intention ya kumfanyia foul mchezaji, hizo sheria ulizopost ni general guidlines do they cover accidents kama iliyotokea kwa Rafael? No. Eti huo ndio unaita ushahidi wa kujustify ya kadi aliyopewa gtfoh, tuwekee instant replay from both angles(ushahidi) otherwise stick kwenye kucopy and paste habari na picha za the sun.
Hivi we wacha uliangalia mechi kweli? Rafael hakuwa na intention ya kumfanyia foul mchezaji, hizo sheria ulizopost ni general guidlines do they cover accidents kama iliyotokea kwa Rafael? No. Eti huo ndio unaita ushahidi wa kujustify ya kadi aliyopewa gtfoh, tuwekee instant replay from both angles(ushahidi) otherwise stick kwenye kucopy and paste habari na picha za the sun.
Man ni bingwa.
Well said. On addition to tht, base on facts, mchezaji akishakuwa na yellow card bears some kind of protection from the ref asipewe another yellow kwa incidence inayofwata, at least akicheza faulo mbili, thts why we normally sees refs wanakuwa wanamhesabiwa na kumwambia kuwa 'ukicheza nyingine, nakulamba njano/red moja kwa moja'. Dd Rafa get tht chance?, no, i dont thnk so.
Wacha1 hakosi majibu anapenda kulialia kama mtoto kanyimwa maziwa subiri atakuja na utetezi wa ajabu
...dah, ama kweli mmejizatiti kutokupoteza game msimu huu...
bado nawaombea mpoteze japo game moja aisee...itakuwa faraja sana kwangu.
Msimu huu imekuwa ngumu sana kwangu kufunga kambi humu kwenye jukwaa lenu, hamna doa!
Berbatov ame step up vizuri msimu huu,...
well done buddies.
AW+Mbu=:busu
Ila ndugu yangu Wacha1 ni anapenda :argue:, dawa yake iko jikoni. Tunamletea Emirata.
Mkuu unaweza google sheria za soka ambazo ndio zinafuatwa na timu zote katika mashindano tofauti . Haiingii akilini ati watu wazima wacheze mpira bila sheria na wafuate guidelines za Eqlpz, Belo Manda et al. Huu mchezo ni multi-million dollar revenue chacha tuache kutumia sheria Are you kidding me! Labda muanzishe league yenu na mafia wenzenu kutoka Chelsick ambao wamebobea kuuza unga na wizi kwenye maduka, supplier mkubwa pale ni JT anachukua kutoka kwa baba yake, kabla ya kila mechi wanabwia unga khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
BTW ulisalimika A town?
Whaao! Man Utd Juu!!..xoxo
Whaao! Man Utd Juu!!..xoxo
Wacha1 hii mbona umesahau kuijibuWacha1 Hata hao vijana wa Mr Bean tuliwapiga goli 6
Wacha1 Hata hao vijana wa Mr Bean tuliwapiga goli 6
Wacha1 hii mbona umesahau kuijibu
Mkuu Wacha1 si mjinga hapa hawezi kujibu sana sana atajifanya hajaiona.
Leo nimeona kwa mara ya kwanza Mzungu kuwa na mwanya. John Adam, team captain wa Blackpool anao. Duh!
Back to sport: leo hawa tunawafanya kitu tulichowafanya B'ham.