Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

SN.JPG
 
Mpo depressed hadi mnakumbuka mechi tuliyowaapangia makinda wetu. Nawasubiri Oktoba 4

Duuuh...aisee we jamaa ni nundaaaa mbaaaayaaaa....

Anyway, walau tulimuamsha "porofesa"wenu akaenda kusajili world class players in Mikel Arterta and Co.....
 
Mpo depressed hadi mnakumbuka mechi tuliyowaapangia makinda wetu. Nawasubiri Oktoba 4

Hii ndiyo ilikuwa lineup ya Goons.

W. Szczęsny
A. Traoré
J. Djourou
L. Koscielny
C. Jenkinson
F. Coquelin
A. Arshavin
T. Rosický
A. Ramsey
T. Walcott
R. van Persie

Substitutes
Ł. Fabiański
Miquel
A. Oxlade-Chamberlain
O. Özyakup
H. Lansbury
G. Sunu
M. Chamakh

Naona makinda yalipangwa 😂😂😂
 
Hii ndiyo ilikuwa lineup ya Goons.

W. Szczęsny
A. Traoré
J. Djourou
L. Koscielny
C. Jenkinson
F. Coquelin
A. Arshavin
T. Rosický
A. Ramsey
T. Walcott
R. van Persie

Substitutes
Ł. Fabiański
Miquel
A. Oxlade-Chamberlain
O. Özyakup
H. Lansbury
G. Sunu
M. Chamakh

Naona makinda yalipangwa 

Mkuu kwani hujui hawa wana wachezaji hawakui misimu zaidi ya mitano.....
 
Hii ndiyo ilikuwa lineup ya Goons.

W. Szczęsny
A. Traoré
J. Djourou
L. Koscielny
C. Jenkinson
F. Coquelin
A. Arshavin
T. Rosický
A. Ramsey
T. Walcott
R. van Persie

Substitutes
Ł. Fabiański
Miquel
A. Oxlade-Chamberlain
O. Özyakup
H. Lansbury
G. Sunu
M. Chamakh

Naona makinda yalipangwa ������

At the time wengi wao walikuwa makinda waliopandishwa toka academy apart from Rosicky, RVP,Walcott,Arshavin, Kosc wengine wote walikuwa makinda, plus tulikuwa na majeruhi kibao
 
Hizi chance tunazopata baada ya wapinzani kupoteza tunatakiwa kuzitumia vizuri. kesho hatutakiwi kuloose any point...ili kuendelea kujiweka pazuri zaidi....I dont care about clean sheet...Tunahitaji ushindi kesho ingawa Swansea huwa wanatukazia
 
Game ya kesho ni ngumu sana, tunahitaji sana ushindi hasa game za ugenini
 
Hizi chance tunazopata baada ya wapinzani kupoteza tunatakiwa kuzitumia vizuri. kesho hatutakiwi kuloose any point...ili kuendelea kujiweka pazuri zaidi....I dont care about clean sheet...Tunahitaji ushindi kesho ingawa Swansea huwa wanatukazia

Yap wanasema adui mwombee njaa, tunahitaji ushindi kabla ligi haijacharuka!!
 
Hizi chance tunazopata baada ya wapinzani kupoteza tunatakiwa kuzitumia vizuri. kesho hatutakiwi kuloose any point...ili kuendelea kujiweka pazuri zaidi....I dont care about clean sheet...Tunahitaji ushindi kesho ingawa Swansea huwa wanatukazia

By Power by Force kitaeleweka ushindi lazima.....
 
Najua mashabiki wa Chelsea na Liverpool watafurika ktk game yetu ya leo wakiomba tupoteze,we will break their hearts by defeating Swansea City at home.
 
Back
Top Bottom