II gook
Member
- Jan 24, 2014
- 89
- 17
Angalia pot 2
Woote ni wababe hatar saana
Angalia pot 2
Champion league pot
One: Barcelona, Bayern Munich, Benfica,
Chelsea , Juventus, Paris St. Germain, Zenit,
PSV Eindhoven
Two: Arsenal, Atletico Madrid, Bayer
Leverkusen, Manchester City, Manchester
United , Real Madrid, Porto, Valencia
Three: CSKA Moscow, Dynamo Kiev, Lyon,
Olympiakos, Galatasaray, Roma, Shakhtar
Donetsk, Sevilla
Four: Astana, BATE Borisov, Borussia
Monchengladbach, Wolfsburg, Dinamo Zagreb,
Maccabi Tel-Aviv, Gent, Malmo
Samahani wakuu, naomba kueleweshwa kuhusu hoi kitu POT?? Maana yake nini??
kipindi cha kwanza game ilitaka imkatae ila nadhani ni nafasi aliyokua anacheza alikua shimoni sana, that's why hata kiungo chetu kilibwana, alivoingia bastian dogo alituonesha Herrera tunae mjua, ile pasi ile dah sijui kama sitaiota.
Herrera huyu wa leo sio yule ninayemfahau....Especially first half
Herrera alikuwa shake sana first half kipindi anacheza kama CM....
CH14 Ofcourse kuna chance amekosa za wazi ila penati simlaumu sana alipiga vizur sema kuslip ndio kumemfanya kukosa
1st half alikuwa anacheza deep sana na alikuwa na mchecheto kiasi, sema alivyo ingia bastian ikawa simple kwake kucheza free, ila LVG inabidi ajifunze huyu dogo kila akichezaga timu inakuwa bora sana kuliko akikosekanaga, sijui ata watumiaje wote maana kila kiungo ana taste tofauti na mwenzake..
Ile inaitwa pasi ZEGEZA mkuu, wanapiga watu wachache sana katika sayari ya 3 kutoka jua😀😀
Hahahahaha mkuu umeona eee?? Sijui km atacheza tena yule
View attachment 280917
Third away kit
View attachment 280917
Third away kit
Mimi hizi sijazipenda kwa misimu mitatu mfululizo nimekuwa nanunua nyeupe na Nyekundu kwajili ya mazoeziHiyo bukta imefanana na yale magagulo ya looserfools ya msimu uliopita.
Mpaka Sasa
Man Ut
PSV
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=UCLdraw]#UCLdraw [/URL]