Mbona siku zingine huwa wapo wanaangalia mechi na bado tunakua tunaona comment humu??? what difference does it make????
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee baada ya kutolewa
kamasi St. Andrews naona leo mmepata mdondo khe khe kheeeeeeeeee
Hongereni wapinzani.
Hehehe wajuba mna hasira ila february/march wakati mechi zapile up uwa mnapoteza grip.Hongereni Watani, tupo nyuma yenu kwenye kona hapa tunasubiri njia tambarare tuovateki
Kazi ipo apo, waarabu na mpira wap na wap?, awa jamaa na hela zao za mafuta soon or later watatuoa. :disapointed::disapointed::shock:Waungwana vipi hii story ya Qatari royals na kuweka bid ya kununua timu kwa 1.5 bil dollars?
Good perfomance from Vidic,Fabio,Oshea,Smalling,Anderson,Giggs,Rooney na Berbatov.Itabidi Giggs aendelee kuongezewa mkataba wa mwaka mmoja mmoja halafu huyu Fabio nae wa ukweli
dah nipeni raha manchester utd kwan cjaona timu nyingine adi ntakapokifa i swear it
I always think Berbatov is one of football geniouses
Hehehe wajuba mna hasira ila february/march wakati mechi zapile up uwa mnapoteza grip.
Waungwana vipi hii story ya Qatari royals na kuweka bid ya kununua timu kwa 1.5 bil dollars?
Wacha1 Hata hao vijana wa Mr Bean tuliwapiga goli 6
haya tena jamani tumerudia zile dozi zetu kama kawa....man utd 4 sunderland 0!!!thanx to rooney,ronaldo na saha leo kaja na two by two...we are on top kwa masaa machache