Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It's WayneRooney's first #UCL hat-trick since his debut treble against Fenerbahçe in 2004.
Ile mechi ilikuwa ya Magoli mengi kama hii....sema Goli 6 zilifungwa kwa mechi mmoja tu tofauti ya goli moja kwa aggregate kwa mechi hii
 
Last edited by a moderator:
Acha tu mkuu sijui !!!.....utasikia niliwaambia mtulie Magoli kwa Rooney yanakuja sasa hatuna shida tena ya striker.....maana kama keshatuambia Fellain naye striker kuna nini tena hapo? Tusubiri dirisha la mwakani.....naona lengo la kubeba UCL limeanza vizuri zaidi hahahahaha chezeiya LVG wewe na philosophy yake!!!! PC hii sitaki niikose kabisa ahahaha. ........GGMU

I guess united inatakiwa iwe na another world class striker kwa maana ya kwamba tuna michuano minne ya kucheza. So on average kuna almost mechi 50 za kucheza kwa msimu huu. Kuanzia EPL, FA, UCL, Capital One.
Hii michuano ni mingi kwa sasa tunahitaji atleast wachezaji wawili au watatu kwa kila number.
 
World class striker ni muhimu sana apatikane hii itatufanya tuwe na squad moja nzuri sana
 
ImageUploadedByJamiiForums1440621108.339111.jpg

1 start
1 goal
1 assist
 
Hernandez misses! He slips as he hits it. Reminiscent of a famous night in Moscow!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hernandez with a brilliant tribute to Steven Gerrard & John Terry there. Good sportsmanship . 😂
 
Back
Top Bottom