Kwani wakati unatabiri ulitabiri kwa timu ipi?
Kama ni hii ulikiwa hujui kama ni mbovu? .....aiseee #wasagasumu bana
#WeLoveWhatYouHate
Herrera huyu wa leo sio yule ninayemfahau....Especially first halfHerrera lvg amtendei haki ata kidogo
Herrera huyu wa leo sio yule ninayemfahau....
Herrera alikuwa shake sana first half kipindi anacheza kama CM....Kivipi Bruh.?? Mimi Hernandez ndo kanihuzunisha kwa kweli..
Herrera alikuwa shake sana first half kipindi anacheza kama CM....
CH14 Ofcourse kuna chance amekosa za wazi ila penati simlaumu sana alipiga vizur sema kuslip ndio kumemfanya kukosa
Karibuni tena katika ligi ya wakubwa. UCLdraw itakuwa lini ?
kipindi cha kwanza game ilitaka imkatae ila nadhani ni nafasi aliyokua anacheza alikua shimoni sana, that's why hata kiungo chetu kilibwana, alivoingia bastian dogo alituonesha Herrera tunae mjua, ile pasi ile dah sijui kama sitaiota.
Kwa jinsi van gal alivyomuangalia giggs...inaonekana giggs ndo anamwamini chicharito...kwa body language "UMEONA???"