3 Rooney again
Anaondoka na mpira wake leo...
Hahahahahaha kama namuona LVG kwenye Press Conference. .........uwiiiiiiii Striker hanunuliwi tenaaa ....lol.....big up Rooney, ......#GGMU
Hivi magoli ya qualifying yanahesabika kwenye tally ya mwisho wa msimu wa UCL?
Yanahesabika kaka maana hii nayo ni UCL imeanza
Stand to be corrected
Hivi magoli ya qualifying yanahesabika kwenye tally ya mwisho wa msimu wa UCL?
Nimejikuta nacheka.
Tupo kwenye mawazo sawa.
Kwa United naona dalili ya dirisha la usajili kufungwa baada ya hii mechi.