Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo kazingua cjui kashalewa yale maneno ya Van Gaal juz na goli mbil alizofunga.......halafu anacheza kizembe sana, kivivuvuvi hiv......cjui mdo anajiona staa au vip, kingine anasahau hii n EPL.....anaomba fouls mpk anakera!

Kingine inaonekana van gal pia anajisahau amemtumia Mara kaza first half na second half kwa vipind flan lakini first half kamtumia sana kama winger tegemezi Katika mashambulizi kama ilivyokua ikifanyika kwa Ashley young... Mzee akuwa mwepesi kubadilika wakati tayar Depay Alisha mbwela mapema tu
 
Nimepita kutoa salam za hongera kwa mashetani. EPL tyaam!
 
"We can be satisfied with the performance but not the result," van Gaal tells BT Sport. "We didn't reward ourselves." #mufc
 
Hubby, clean sheet bado mpz wanguuu.........Asante kwa pongezi.....j3 nitakuja kukichungulia......m

..

Karibu ushuhudie mpira na magoli mengi. Cleen sheet kweli, mpira mzuri kweli..lakini ushindi nehiii...EPL tyaam wifey!!
 
Van Gaal: "I'm satisfied with the performance, not the result, that's the difference." #MUFC
 
Table
Pos Team P GD Pts Form
1 Leicester 3 3 7
Won against Sunderland Won against West Ham
2 Man Utd 3 2 7
Won against Spurs Won against Aston Villa Drew with Newcastle
3 Man City 2 6 6
Won against West Brom Won against Chelsea
4 Liverpool 2 2 6
Won against Stoke Won against Bournemouth
5 Swansea 3 2 5
Drew with Chelsea Won against Newcastle
6 Everton 2 3 4
Drew with Watford Won against Southampton
7 C Palace 3 1 4
Won against Norwich Lost to Arsenal
8 Norwich 3 0 4
Lost to C Palace Won against Sunderland
9 Aston Villa 3 0 4
Won against Bournemouth Lost to Man Utd
10 Bournemouth 3 0 3
Lost to Aston Villa Lost to Liverpool
Premier League
View full Premier League table
 
Hii ni timu ya ushindi ya Manchester United: 1. Romero 2. Darmian 3. Shaw 4. Blind 5. Smalling 6. Schneiderlin 7.Mata 8. Schweinsteiger 9. Chichirito 10. Herrera 11. Depay.Wengine waanzie benchi.
 
Pace pace pace pace pace!! Vijana wako so slow kwenye kushambulia hii inafanya opponents kupata mdaa wakujaa golini kwao mwisho wa picha tunaishia kuzunguka na mpira tu kwenye opposition's half
 
Leo ilikuwa ni siku ya draw, hongera kwao Crystal Palace na Bournemouth kwa kubeba point zote tatu.
 
Striker shidaa winger mbovu katikati haiko Sawa kivile nachoweza washauri jipimeni mkikutana na watu kama man city au Arsenal

wenye striker wazuri na mid mzuri mna point ngapi?
 
Back
Top Bottom