Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili tatizo limejidhihirisha wazi toka siku ya kwanza Striker sasa ni shida kwetu hata kipofu anaona Ngoja tusubiri tuone hatua gani zitachukuliwa maana huko mitandaoni kinanuka kweli kweli fans wa MU si mchezo!!!!

Uzuri wa mashabiki wa United wanakusifia kama unafanya kazi na kama unavurunda wanakutimua.
Hatuna rekodi ya kufukuzisha mtu bila sababu.
Nadhani mechi ya leo watakinukisha vya kutosha na uzuri wa management wanasoma comments za mashabiki.
Naamini watalifanyia kazi hili swala.
 
bado mapema sana, giroud ana goli moja, Costa hana, Kane hana, why always Rooney?

Sasa wewe mbna unaukataa ukweli kwamba rooney amechoka okey pamoja na excuse kua anacheza namba isiyo mfaa lakini iko wazi anaitaji msaada Rooney huyu si yule aliyekua tishio kwa göönerz n EPL at large lakini Leo ndio hivi sasa unamzungumzia Costa mchovu yule GIROUD japo anakagoli kamoja ila mchovu pia Kane ameonekana mwamba last season lakini ROONEY si wa kumfananisha na costa yule muingereza ni machine lakini ugly truth amechoka kaka
 
Uzuri wa mashabiki wa United wanakusifia kama unafanya kazi na kama unavurunda wanakutimua.
Hatuna rekodi ya kufukuzisha mtu bila sababu.
Nadhani mechi ya leo watakinukisha vya kutosha na uzuri wa management wanasoma comments za mashabiki.
Naamini watalifanyia kazi hili swala.

nilikua naangalia comments za watu kwenye tweeter acc ya Rooney ame-tweet kumtakia wishes tiger woods (mchezaji Wa golf) dah jamaa wamemuandama vibaya atakua kajisikia vibaya sana.
 
Tuwe na subira MUFC fans mwanzo huu si mbaya japo si mzuri, matumaini ni makubwa by the way Neymar yupo njiani.
 
Wait for Ronney to score a goal after months of firing blank and British Medias talkSPORT 1st will start calling him the English Messi.
 
Last edited by a moderator:
Leo ilikuwa ni siku ya draw, hongera kwao Crystal Palace na Bournemouth kwa kubeba point zote tatu.

Nimeona si jambo baya kuja huku kukupa hongera kama wewe unavyokuja kule kwetu Dada everlenk hongera kwa point 1
 
Wait for Ronney to score a goal after months of firing blank and British Medias talkSPORT 1st will start calling him the English Messi.

'New Ronaldo' leo bureee kabisa! Jnne kapelekesha timu ya 'mchangani' watu kelele kibao!!
 
Last edited by a moderator:
Over a year into the era of philosophy and Man United players still look puzzled as to what they're asked to do on the pitch.
 
Nimeona si jambo baya kuja huku kukupa hongera kama wewe unavyokuja kule kwetu Dada everlenk hongera kwa point 1

Asante kaka mak89, lakini muhimu ilikuwa ni point 3 maana mpaka Sept tukikutana na wewe tunatakiwa tuwe tumeshiba mapoint lakini so mbaya yote ni matokeo......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom