Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ha ha haaa utoege ata pongezi atiii.
Ligi ilishaanza siku nyingi mara ya kwanza tulidroo mara ya pili tulipigwa tatu kavu in moureen's voice

Acha uchokozi
Sisi twaanza kesho
 
Possession bila ushindi ni kazi bure.
Please we need strikers.

Hili tatizo limejidhihirisha wazi toka siku ya kwanza Striker sasa ni shida kwetu hata kipofu anaona Ngoja tusubiri tuone hatua gani zitachukuliwa maana huko mitandaoni kinanuka kweli kweli fans wa MU si mchezo!!!!
 

Attachments

  • 1440251498570.jpg
    1440251498570.jpg
    10.9 KB · Views: 119
Performance ipi kuwa muwazi. Kwa possesion sawa ila kwa mengine inabidi mjitafakari upya. Wachezaji wote mlioingiza sub ndio waliotakiwa kuanza

Be more concerned of your team kuliko kuniuliza maswali ya kipuuzi....

Ukiwa huelewi na huelewi kama huelewi hata kueleweshwa hutakaa uelewen...
 
Ha ha haaa utoege ata pongezi atiii.
Ligi ilishaanza siku nyingi mara ya kwanza tulidroo mara ya pili tulipigwa tatu kavu in moureen's voice

Hahahahhahahha ilikuwa ni fake results hahahahahaha......
 
Striker shidaa winger mbovu katikati haiko Sawa kivile nachoweza washauri jipimeni mkikutana na watu kama man city au Arsenal
 
Kutoshinda mechi ni kubaya ila kwa upande mwingine naona sawa tu ili yule mzee asahil striker, Rooney cjui kachoka ama vip!
....kwa matokeo ya leo nafikir ataona umuhim wa kusajil CF..
 
Hahahahah man u katangaza kilio kule jukwaa letu cute b

Duuuuhhh wape pole ndugu zangu jamani na mimi ni mhanga ujue Root yaan ngoma inasoma red tayari badala ya green na ni gem moja tuu....
Dadeeeeeeeeeeeeeeeek maumivu mara mbili
 
Last edited by a moderator:
Depay Sawa au si sawa

Leo kazingua cjui kashalewa yale maneno ya Van Gaal juz na goli mbil alizofunga.......halafu anacheza kizembe sana, kivivuvuvi hiv......cjui mdo anajiona staa au vip, kingine anasahau hii n EPL.....anaomba fouls mpk anakera!
 
Back
Top Bottom