Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na kutangulia 2-1 hili timu bovu aisee. Likivuka hapa linaenda kubomolewa mpaka basi.

Hii timu mbovu!

Chelsea mbovu, Arsenal mbovu, Liverpool mbovu so far timu iliyoanza vizuri ni Man City but kwenye Champions League siku zote ni vibonde. Bora uanze kwa kusuasua lakini unapata ushindi
 
Mkubwa waonee huruma wenzako..... mikakati yako itafanya wakaangasumu wasiwe wanakuja hapa

Ni sawa na jirani unayemchukia anamiliki DSTV.
Utaenda tu kwake kuangalia.
Au jirani yako ana usafiri ambao kila asubuhi anakupa lift.
Ndo hao wakaanga sumu. Watapita tu hapa.
Hii ni roundabout au junction. Lazima wapite maana hakuna namna nyingine.
 
After the depature of Van Persie and Falcao, Rooney stands as a lone striker at United.
This leaves no room for competition.
We need 3 or 2 badass strikers to trigger the competition.
 
Cc MosDef utamuelewa tu Depay ni nani?

1000.jpg
 
Sasa hivi naona Januzaj anapewa chance za kutosha na LVG.
Anatakiwa azitumie haswa kudeliver, lasivyo nadhani katikati ya msimu au mwisho wa msimu tunaweza tusiwe naye.
So far he has impressed us in those two games where he started.
 
Huyu jamaa akiwa fit ningependa awe anaanza na Morgan tuwe tunamaliza game mapema, Carrick awe anaingia sub kazi ikiwa imekwisha

huwa napenda sana Bastian yeye akiingia kazi yake kubwa nikuwaelekeza vijana, muda mwingi utamuona anaelekeza na yeye pia akipata mpira huwa anautendea haki.
 
Mummy acha tu furaha niliyonayo yaani nilikuwa najisemea my wishes atleast tufunge tatu hata sijamaliza kitu kikajibu......hahhaahha shemeji buana kama leo hujajipiga sijui!!!......lol

Mamy mimi nilitaman mpira uishe tusije tuka draw mara nikasikia "kituuuuuuuuu " washalalaaaaaaaaaaa
 
Memphis leo kaonyesha kwanini kanunuliwa kwa bei kubwa....Chris smalling ame improve sana....Luke Shaw nae anaonyesha kwa nini unitedwalitoa milioni kibao kumsajili! Kama leo ytimu ingekuwa serious hawa tungewafunga hata 5-0!!
 
But homestly we are still vulnerable in the defence side.
Mateo and Luke are picking up as promising defenders but Chis Smalling is still the same but he's considerably improving. Danley is not a natural CB. We need one as much as we need a good striker.
We're in champions league. Those big dogs have no mercy.
 
Back
Top Bottom