Leo mhhhh roho kwatu
Sijui nimpe nini huyuuu depay wangu nilisema goli moja halitoshiii roho yanguuu nyang'anyang'a
Leo mhhhh roho kwatu
Depay again ooooowww nampendaaaaaaaaaa
Rooney inahitajika maamuzi magumu.....anaiangusha timu kabisa
Pamoja na kutangulia 2-1 hili timu bovu aisee. Likivuka hapa linaenda kubomolewa mpaka basi.
Hii timu mbovu!
Rooney achezi kma captain anaiangusha team Lazima atafutiwe mbadala. Kisha team aipo fiscal kabisa wachezaji awawezi kupambana
Sijui anatatizo gani? Atakushangilia magoli anashindwaRooney inahitajika maamuzi magumu.....anaiangusha timu kabisa
Jikifua tu mamy,embu mwambie shemeji afunike kifua si unajua tena udhaifu wangu mimi kifua....lol....nisije tongoza shemeji bure.....
Pamoja na kutangulia 2-1 hili timu bovu aisee. Likivuka hapa linaenda kubomolewa mpaka basi.
Hii timu mbovu!
We have got ourselves talents in that boy... Memphis! Namna hii unaangalia mechi huku unamimina kinywaji kwa raha
bado sijaelewa Partnership ya Morgan na carrick, wote ni DM kwann analazimisha wacheze pamoja wakati bastian yupo.
Pamoja na kutangulia 2-1 hili timu bovu aisee. Likivuka hapa linaenda kubomolewa mpaka basi.
Hii timu mbovu!
Na kambuzi pembeni,waiterrrrr tuongezee tulivyi