Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1439933049.761662.jpg
 
Matokeo mazuri...LvG amefanya kile nilichokisema humu, kutumia mfumo wa 4-2-3-1...kuwa na DMs wawili, AM mmoja na wingers wawili walio na uhuru.

Ila kama wanavyosema wadau wa timu wengi, attacking prowess lazima itengenezwe kwa combination ya Mata na Herrera. Januzaj, Fellaini na hata dogo Perreira wawe wanaingia kama subs.

Anyway, naendelea kufurahia maendeleo ya timu..angalau project inaonekana kuwa ya maana...

#GGMU
 
Uteja uliishia FA CUP QF, mkiingiza mguu ni kuwapa kipigo au mtaambulia draw, kama wabisha subiriuone itakavyotokea Oktoba 4th

Mechi ijayo mnacheza na Majogoo

Hata nyie mnajua kabisa hamuwezi kucheza na majogoo

cc Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Rooney duuh! Ila nae ni hatari bhaaanaaa namkubali
 

Attachments

  • 1439935042149.jpg
    1439935042149.jpg
    30.7 KB · Views: 118
Back
Top Bottom