![]()
Taarifa za uhakika kabisa kutoka ndani ya Old Trashford ni kwamba Wine Romney ame burn out baada ya mechi mbili? Hivi mko salama huko au ndio basi bora liende.
Kila la kheri jamani...msijetufanya tukahamishia vigodoro kwenu!
Mi nalala ila nitaamka kutoa pole/hongera!
Welcome to the Champions League.
Kila la kheri jamani...msijetufanya tukahamishia vigodoro kwenu!
Mi nalala ila nitaamka kutoa pole/hongera!
Welcome to the Champions League.
Uzuri wa Man Utd wakiwa wanacheza majukwaa ya timu zingine zote yanakwenda likizo kila mtu macho na masikio wanahamishia hapa.
Wengi wao wanaingia kama Guest kusikilizikia itakuwaje kwanza .. hahahaha
Man Utd kweli heshima.
![]()
Chacha hata updates hamleti .. ...arggggggggggggggggggggggggggggg
BASI ISIWE SHARI MI NATIMKIA CINCCINATI KUANGALIA TENNIS .. ... ..... ...
One mistake one goal
Pllllzzzz #depay fanya kufunga japo one goal