Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

bado sijaelewa Partnership ya Morgan na carrick, wote ni DM kwann analazimisha wacheze pamoja wakati bastian yupo.
Nahisi atakuwa anacheki partnership ipi itakuwa nzuri zaidi hasa kwenye defending. Morgan ameshajihakikishia numba ila kazi ni Carrick na Bastan hasa ukicheki fitness zao kwa kipindi chakaribuni sio nzuri
Na hii inaashiria nn..? Nahisi ameamua kutokusajili CB msimu huu na badala yake atatumia Holding midfielders wawili ili kulinda ile backline zaidi na ukicompare msimu uliopita DDG ndio alikuwa akitusave sana...na still futere yake bado ni uncertain
HAYA NDIO MAWAZO YANGU MKUU
 
Ok ngoja tuoneni bt nimuhimu wasipate goli la ugenini awa wageni au nyie mnaonaje,,
 
United!!! Man united
 

Attachments

  • 1439921154497.jpg
    1439921154497.jpg
    26.1 KB · Views: 110
alafu hamna CB hata mmoja sub? incase mmoja akiumia itakuaje? rojo anamatatizo gani hata sub hayupo?
#aiseee
 
Ushindi lazima Wacha 1 karibu ushuhudie mtanange safi kabisa.

Usikimbie tu kama Invisible Mungiki Brother baada ya kipigo cha Etihad wanafuta tu pics za Gunners . .... ..... ... Chacha chiku watakapokula mkung'uto wa pili kutoka kwa Gunners chi watafunga majukwaa kabisa. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
article-3202351-2B782FE100000578-92_964x390.jpg


Taarifa za uhakika kabisa kutoka ndani ya Old Trashford ni kwamba Wine Romney ame burn out baada ya mechi mbili? Hivi mko salama huko au ndio basi bora liende.
 
Back
Top Bottom