Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha tu Wangu pale mbele ni butu sana panatakiwa kunolewa, big up kwa safu yetu ya Ulinzi.....

"Mpaka sasa" tunavyokwenda siku timu ngangari ikianza kutufunga sijui kama tutashinda hiyo mechi-- kumbe timu yako ya pili nayo inacheza sasa
 
"Mpaka sasa" tunavyokwenda siku timu ngangari ikianza kutufunga sijui kama tutashinda hiyo mechi-- kumbe timu yako ya pili nayo inacheza sasa

Tuombe marekebisho yatokee, ila kila siku tunaimprove na siku ya leo ndo imedhihirika kabisa waziwazi hata kipofu kaona kwamba pale mbele ni matatizo.

Mara ya mwisho kuona Mchepuko wangu alikuwa ameshachezea kimoko.....
 
Damian,Shaw,Smalling,Schneidelen na Mata wamecheza vizuri sana hizi game Rooney,Carick,Depay wanapaswa kuimprove.Tunaanza game slow sana ningependa Bastian angeanza mechi ijayo badala ya Carick,Bastian ni mzuri sana kupanda mbele kusaidia mashambulizi.Rooney anapangwa kwakuwa ni captain
 
Memphis depay bado hajaonyesha uwezo wake anakuwa hajiamin, anababaika.

Akicheza janujaz akicheza winga timu haipandi mbele ila akicheza young timu inakua inaenda mbele.

Leo rooney alikuwa anakimbia tuuu.

Anahitajika mpishi anaeweza kupiga chenga , kulazimisha na kusumbua mabeki.
 

Kwani Captain hawezi anzia Benchi kidogo? Mimi naamini akikalia Benchi akili zitamkaa sawa....
 
Points 3 muhimu, magoal peleka la liga, ila pale kwa wazza nimeshaanza kuwa na wasiwasi nako, na ukuta wetu umekuwa wa chuma sasa ivi hatari..
 

DDG anamsumbua L. V. Gaal tu, angekuwa SAF angelimuuza hata kwa Sunderland kwa lazima na hela ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…