Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nasali sana, De Gea aondoke hapo, ikifika 2nd september hajaondoka, ntaumia sana..hope Madrid can Pull this up..

De Gea hata akiondoka leo The United itaendelea kuwepo, hakuna pengo lake, mimi nadhani ungefurahi zaidi angekuja kuondoka kwa free ndo ungepata la kuongea........ nakuona msimu mpya umekuja kwa kasi na Man U Ngoja nitamtafute mkali wenu huyu ndo anawaweza wazee wa YNWA.......... Nzi njoo kipande hii sikuhizi MosDef anasumbua sana Jamvi hili....lol
 
Last edited by a moderator:
We Dada unakumbuka mlinipasua kichwa vip Leo mnatoka??

Yaani our motto ni point 3 mbele kwa mbele.......pole sana kumbe nilikupasua kichwa? Ila nilikupoza pia, tulikuwa tunakufundisha kucheza kigodoro...........hahaha
 
Suala la DDG nadhani limekuwa handle vibaya na Moyes na mrith wake LvG.

Mosi ni ajabu Moyes alikimbilia kumpatia mkataba mpya Nani lakini akasahau kufunga mkataba mpya na DDG !

Pili sioni mantiki ya kuendelea na DDG wakati anataka kwenda Real Madrid huku mkataba wake ukiwa umebakia mwaka mmoja tu.Huu ni ujinga kwasababu kuendelea kubaki na mchezaji asiyetaka kuchezea timu huku unamlipa mshahara sidhani kama ni jambo jema.

Tatu Rear Madrid tayari wameshampata mtu wao kwasababu ya uzembe wa managers kushindwa kuangalia potential ya mchezaji.

Nne ni vyema Man siku za usoni ikaacha kusajili wavhezaji wa spain kwasababu kiwango kikienda juu wanakimbilia Real au Barcelona.

Tano kuendelea na DDG ni hasara kubwa anaweza kuharibu moral ya wachezaji wengine na bad image ya club.
 
Yaani our motto ni point 3 mbele kwa mbele.......pole sana kumbe nilikupasua kichwa? Ila nilikupoza pia, tulikuwa tunakufundisha kucheza kigodoro...........hahaha

Let's wait for da right time coz at the moment wakaz downtown unapajua jioni hii
 
Mtani naomba nipite mapema sijui na Leo tutapata own goal..?

cc. everlenk

Mwaka wa neema huu mtani wangu tutakula unono wa mataifa,watachanganyana na kuvurugana wao kwa wao, watapigana wenyewe kwa wenyewe,sisi tutamalizia......GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi

Hahahahahahahahahahaha!!!!!!!

Me nnachoombea aondoke tuuu....kivyovyote vile..
 
Last edited by a moderator:


Damn this is too much now
.....

Paul Merson Predictions

Aston Villa vs Man Utd

I was not that impressed with Man Utd in the win against Spurs, and Villa got a good result in a difficult fixture at Bournemouth. I'm going to go for a draw.{PAUL PREDICTS: 1-1}

Crystal Palace vs Arsenal

But I'm going with Arsenal because it's a must, must-win game, even this early in the season. They need to score first at Selhurst Park, just to quieten the crowd. Arsenal's class should see them through. {
PAUL PREDICTS: 1-3}

Huyu jamaa haipendi Utd kinoma sijui kwanini Sky wanamng'ang'ania tuu, hata siku ile timu yake ilipokula goli 8-2 hakuwa impressed na performance ya Utd

Btw utabiri wake utakuwa ni vice versa....



 
Reactions: Nzi
Nasali sana, De Gea aondoke hapo, ikifika 2nd september hajaondoka, ntaumia sana..hope Madrid can Pull this up..

Aliondoka ronaldo katika ubora wake utd ikabaki utd, who is de gea by the way?
 

Moyes na Ed Woodward walifanya makosa makubwa sana kutompa mkataba De Gea baada ya Ferguson but sijaona kosa alilofanya LVG kwenye hii issue

1.De Gea alikutana na Real Madrid wakakubaliana kila kitu,wakaleta offer ya paund 13M wakaambiwa walete paund 28M otherwise wamsubiri next season free

2.Man United sio level ya Aston Villa au Sunderland kwamba ukitaka unaenda kuchukua wachezaji unavyotaka,na again ni fundisho kwa wachezaji wa South America na Spain next time hakuna atakayefanya huo ujinga

3.Ile game ya mwisho ya pre-season alifungwa magoli ya kizembe kocha akaamua ampumzishe kumuondolea pressure anaweza akafungwa goli la kawaida lakini reaction ya mashabiki/management ikawa tofauti

4.Kama De Gea akiwepo msimu huu na akacheza kama alivyocheza last season na huu usajili tuliofanya Man United inaweza kuchukua hata ubingwa,sidhani kama kuna mtu atakuwa na matatizo nae.Hii issue ilitokea kwa Lewandoski lakini jamaa akabaki msimu wa mwisho akaipigania Dortmund na akawa mfungaji bora hadi leo akirudi Dortmund wanamshangilia tofauti na Gotze anazomewa kila siku

5.Huko nyuma tumeshawauzia Madrid Beckham,Heinze,Van Nistelrooy,Ronaldo kote huko walitoa hela waliyoambiwa
 
Team to play Aston Villa: Romero, Darmian,Smalling, Blind, Shaw, Carrick, Schneiderlin, Mata, Depay, Januzaj, Rooney.

Subs:Hernandez, Young, Ander Herrera, Valencia, Schweinsteiger, McNair, Johnstone.
 
Team to play Man Utd: Guzan, Bacuna, Richards,Clark, Amavi, Veretout, Gueye, Westwood, Ayew, Agbonlahor, Sinclair.


Subs: Baker, Richardson, Hutton, Sanchez, Kozak, Bunn, Gestede
 
Adnan nafikiri atakipiga pembeni, huku Mata akipiga kumi...au wanaweza kuwa wanabadilishana...

Kitu kizuri ni kuwa Depay atacheza kwenye left wing, nafasi anayoimudu zaidi...angalau LvG kakubali makosa yake...
 
Adnan nafikiri atakipiga pembeni, huku Mata akipiga kumi...au wanaweza kuwa wanabadilishana...

Kitu kizuri ni kuwa Depay atacheza kwenye left wing, nafasi anayoimudu zaidi...angalau LvG kakubali makosa yake...
Ningependa sana CH14 angeanza hii gemu nimemiss sana huyu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…