kwani man united sio club kubwa au?
Ilikuwa enzi zake na zilisha pita,hata liverpol ilikuwa enzi zake,upo!

Unataka kocha awe mwepesi muweze kumchezea kama ndugu yenu?
Kama haya ndio mawazo ya wapenzi wenu juu ya attitude ya LVG kwamba anatakiwa awe mbabe mbabe, mkorofi basi ipo kazi.
Biggest club in the world?and where will Madrid be rated at?
Bila offense, nipe list ya the biggest football club in the world.
2014-2015.
1. Barcelona
2. Madrid
3. Bayern Munch
4. Chelsea
5. Atletico Madrid.
Jua kutofautisha kati ya "most valuable/richest clubs" in the world na "biggest/top ranked club in the world"...
Kwa sasa 4 richest clubs in the world ni Madrid, Man utd, Barcelona , Arsenal, but Man utd huwez kuwaweza katika rank moja na Barcelona interms of ukubwa na mafanikio ya vikombe kwa sasa, na Arsenal ndo kabisa, huwez kuiweka katika rank moja na Chelsea or bayern na ATM kwa sasa..
Kwa sasa, Club yenye mafanikio makubwa dunian ni BARCELONA, interms of MAKOMBE MAKUBWA na FOOTBALL DOMINATION..now huwez ukanambia katika ranks za soccer Madrid are bigger than Barcelona, utanambia tu kuwa Man utd and Madrid ni MATAJIRI kuliko barca, but not BIGGER than barca katika FOOTBALL DOMINATION..
In Europe (katika UEFA competitions) ATLETICO MADRID wamefanya vizuri for the past 2-3 years kuliko any club ya UK..thats why katika UEFA RANKINGS za mwaka huu (APRIL), imeshika nafas ya 5 nyuma ya chelsea, huku manure ikishika number 10 na Arsenal number 9, but lets not 4get kuwa hiz ni clubs (manure and Arsenal) ni tajiri kuliko Chelsea, Bayern and ATM, but ni BIGGER katika soccer la ulaya kwa sasa zaidi ya chelsea, bayern and ATM IN TERMS OF DOMINATION??? the answer is NO..
Ranks za UEFA zinatoka kila round ndugu.. So sahiv ninapokwambia kuwa Barcelona ndo kila kitu namaamisha achievements za last season na sasa, WAMESHINDA MAKOMBE YOTE MAKUBWA, UCL, UEFA SUPER CUP, COPA and LA LIGA..but hawana pesa kama Man utd ambao wanastruggle kurud juu, na Madrid ambao wanategemea kuretain sehemu yao this season..
Lol, wazee wa kuklem, kama kawaida yenu...LA LIGA, COPA, UCL, UEFA SUPER CUP, madrid imevuna nn last season?
Jua kutofautisna kati ya MOST VALUABLE CLUBS IN THE WORLD, na BIGGEST CLUB IN THE WORLD KWA SASA, Manure ya mwaka 1999 ndo ilikuwa considered kuwa The Biggest club in the world kwa wakat ule, unajua ni kwanini??
Madrid, Ac Milan, Juventus, Man utd, Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Inter Milan, Porto etc, ni clubs kubwa duniani kutokana na 1. History (ukongwe). 2. Idadi ya Makombe MAKUBWA, 3. Mashabiki, 4. Legends, 5. Value, 6. Wage bills 7. Stadiums etc na facts zingine kibao, so kwa mtazamo huo, ipi unafikiri ndo team yenye mafanikio makubwa kwa sasa? Nitajie ipi ndo the MOST ATTRACTIVE CLUB IN THE WORLD KWA SASA?
Usiishi kwa kuklemu..

Barca wana ma-legend wangapi? Mbona kina Laudrup, Guardiola, Xavi hawajamsema. Roy Keane had leo anamponda SAF,Zlatan anamponda Pep, Terry anamponda Benitez,Casilas anamponda Morinyo angalia Brendan Rodgers alichowafanya kina Agger, Reina, Suso, Gerrard hivyo ni vitu vya kawaida kwenye maisha huwezi kuelewana na kila mtu
Chelsea is a biggest club? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mbavu zangu mie!Klabu yenye makombe 5 tu ya E.P.L inayozidiwa hata na Everton,Aston Villa na Tottenham,klabu yenye kombe moja tu la UEFA champions league inayozidiwa hata na Nottingham Forest yenye makombe 2 ya UEFA champions league, klabu yenye uwanja mdogo mno wenye uwezo wa kuchukuwa mashabiki wasiozidi 47,000 ndio iwe kubwa kuliko Manchester United?Thanks for the good sense of humor though!!!
Wewe ndio unayechanganya sasa,Barcelona siyo klabu kubwa zaidi duniani,Madrid ndiyo klabu kubwa kwasababu facts zote zipo hapo.Madrid ina makombe mengi kuliko Barcelona, ina mashabiki wengi kuliko Barcelona, ina utajiri mkubwa kuliko Barcelona na ina mvuto mkubwa kuliko Barcelona (mauzo ya jezi za wachezaji ni uthibitisho mzuri).Ila ukizungumzia klabu yenye mafanikio makubwa kwa miaka ya karibuni (the successful club in recent years) nitakuelewa,Barcelona is a successful club in recent years but not the biggest. That goes to Chelsea as well,Chelsea is not among the biggest clubs in English Premier League (E.P.L) but it is the successful club in recent years. I guess you're a Chelsea fan,no wonder!
Lol, wazee wa kuklem, kama kawaida yenu...LA LIGA, COPA, UCL, UEFA SUPER CUP, madrid imevuna nn last season?
Jua kutofautisna kati ya MOST VALUABLE CLUBS IN THE WORLD, na BIGGEST CLUB IN THE WORLD KWA SASA, Manure ya mwaka 1999 ndo ilikuwa considered kuwa The Biggest club in the world kwa wakat ule, unajua ni kwanini??
Madrid, Ac Milan, Juventus, Man utd, Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Inter Milan, Porto etc, ni clubs kubwa duniani kutokana na 1. History (ukongwe). 2. Idadi ya Makombe MAKUBWA, 3. Mashabiki, 4. Legends, 5. Value, 6. Wage bills 7. Stadiums etc na facts zingine kibao, so kwa mtazamo huo, ipi unafikiri ndo team yenye mafanikio makubwa kwa sasa? Nitajie ipi ndo the MOST ATTRACTIVE CLUB IN THE WORLD KWA SASA?
Usiishi kwa kuklemu..
Chelsea is a biggest club? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mbavu zangu mie!Klabu yenye makombe 5 tu ya E.P.L inayozidiwa hata na Everton,Aston Villa na Tottenham,klabu yenye kombe moja tu la UEFA champions league inayozidiwa hata na Nottingham Forest yenye makombe 2 ya UEFA champions league, klabu yenye uwanja mdogo mno wenye uwezo wa kuchukuwa mashabiki wasiozidi 47,000 ndio iwe kubwa kuliko Manchester United?Thanks for the good sense of humor though!!!
2014-2015.
1. Barcelona
2. Madrid
3. Bayern Munch
4. Chelsea
5. Atletico Madrid.
Jua kutofautisha kati ya "most valuable/richest clubs" in the world na "biggest/top ranked club in the world"...
Kwa sasa 4 richest clubs in the world ni Madrid, Man utd, Barcelona , Arsenal, but Man utd huwez kuwaweza katika rank moja na Barcelona interms of ukubwa na mafanikio ya vikombe kwa sasa, na Arsenal ndo kabisa, huwez kuiweka katika rank moja na Chelsea or bayern na ATM kwa sasa..
Kwa sasa, Club yenye mafanikio makubwa dunian ni BARCELONA, interms of MAKOMBE MAKUBWA na FOOTBALL DOMINATION..now huwez ukanambia katika ranks za soccer Madrid are bigger than Barcelona, utanambia tu kuwa Man utd and Madrid ni MATAJIRI kuliko barca, but not BIGGER than barca katika FOOTBALL DOMINATION..
In Europe (katika UEFA competitions) ATLETICO MADRID wamefanya vizuri for the past 2-3 years kuliko any club ya UK..thats why katika UEFA RANKINGS za mwaka huu (APRIL), imeshika nafas ya 5 nyuma ya chelsea, huku manure ikishika number 10 na Arsenal number 9, but lets not 4get kuwa hiz ni clubs (manure and Arsenal) ni tajiri kuliko Chelsea, Bayern and ATM, but ni BIGGER katika soccer la ulaya kwa sasa zaidi ya chelsea, bayern and ATM IN TERMS OF DOMINATION??? the answer is NO..
Ranks za UEFA zinatoka kila round ndugu.. So sahiv ninapokwambia kuwa Barcelona ndo kila kitu namaamisha achievements za last season na sasa, WAMESHINDA MAKOMBE YOTE MAKUBWA, UCL, UEFA SUPER CUP, COPA and LA LIGA..but hawana pesa kama Man utd ambao wanastruggle kurud juu, na Madrid ambao wanategemea kuretain sehemu yao this season..
Cheki unavyojua kufatilia mpaka kuhusu nyimbo za Man U..
Unaijua sana Team yetu kuliko hata Team yako..lol