Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Imekuwaje Luke Shaw ameachia jezi na. 3 na kuchukua 23? na namba 2 inamsubiri Ramos?
Ndio jezi aliyokuwa anaitumia akiwa southampton ndio maana kaamua kushift kutoka 3 mpaka 23....
Alipojiunga na Man u jezi hiyo ilikuwa inavaliwa na Clevery
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
5. I regret putting Rooney in my fantasy football team.

6. Schneirdelin..hivi kacheza leo? Didn't see him

7. Except for Smalling defenders wengine were below average

8. Diving..well it's young..it's MUtd hatushangai sana

9. Mata...anakimbia kimbia tu..ts like wamekatazwa kupiga mipira golini wanaishia na touches nyingiiii wakati Rooney kajichomeka katikati ya mabeki ooponents.

We're in the race now.
We always focus on the next match.
Keep talking.
 
5.Why unamweka Rooney kwenye timu yako,mweke Fail cow

6.Namba anayocheza huwezi kumuona hata alivyokuwa Southampton alikuwa haonekani

7.Kuna beki anaitwa Matteo Darmian kama alikuwa average I think hujaangalia game

8.Osca,Hazard,Cesc wote ni divers

9.Mata leo amecheza kama Jose alivyokuwa anataka,track back

10.Sijaona ukiongelea possession

Anaikubali United Kimya kimya ndo maana yupo humu muda wote.
 
Smaling ttzo akicheza mechi mbili tatu anakuwa nje week nne

Ni kweli mkuu,

Ila ukiondoa tatizo la Majeruhi dogo yuko vizuri, Van Gal anatakiwa kumuamini na asimuhamishe namba mara kwa mara. Hapa Dogo ka-Improve kwenye Mkoba, ukimhamisha namba anakuwa kama hajiamini hivi, anakuwa anatafuta kiwango chake mwenyewe, wakati kocha. ndiye anatakiwa ajue sehemu gani apangwe.

Anyway ni maombi yetu na dua zetu dogo asiumie mara kwa mara.

BACK TANGANYIKA
 
I think Rooney is past his best now,this could be the reason why Ferguson was about to sell him.LVG needs to be bold enough to drop him on the bench and give Chicharito the opportunity to play,or else we need a new striker. I still doubt his decision to play Depay behind Rooney, He will obviously face the same problem Di Maria faced last season. Depay should be played in his favorite position,He could give United more pace and creativity, Young doesn't do much in that position, we lack creativity upfront because of that.
 
Asante sana dear.........hahahahaha utafikiri Mbowe ndo kaenda CCM akasema IN CCM we trust. ......

Hahahahaaaaaaa............ Nimewatega kidogo tu.

Yani km mi ndio ningekua Mourinho, yani Man U ningeifatilia kwa karibu sn kila game kwasababu ndio timu ninayoiona italeta upinzani kwetu msimu huu!
 
Hahahahaaaaaaa............ Nimewatega kidogo tu.

Yani km mi ndio ningekua Mourinho, yani Man U ningeifatilia kwa karibu sn kila game kwasababu ndio timu ninayoiona italeta upinzani kwetu msimu huu!

Man U hawa niliowaona leo wakicheza au? sijakuelewa!
 
ImageUploadedByJamiiForums1439051327.197078.jpg
 
Back
Top Bottom