Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa B'Ham Hapo kati mamido wao wanagongeana kama Arsenal....Hakuna supply ya mipira kwa Rooney and Barbatov.....
 
wagumu sana hawa birmingham mkuu lol.na sisi tunakuja hapa jumamosi.

Hawa wetu hawa.....bado wanajifunza Kugongeana wakati sie wale mamido pale kati wanadonoa....Yaani kama AW akisajili Kipa wa Ukweli tu uhakika utaongezeka kaka.........
 
Jamaa kwa dakika kadhaa wametufunika kiungo. Na huyu Runi n bora arud rehab US.
 
Hongereni naona jamaa anaendelea na ngekewa zake.


_50601014_010914190-1.jpg
After a goalless first half, Man Utd step it up in the second and take the lead when Dimitar Berbatov fires home with a clinical finish following a rapid counterattack
 
Duh yet another draw....Ila refa kaua.. Handball offside everything goes kudadeki....Hawa jamaa walitubana sana.
 
Wakuu namtafuta Wine bin Rooney nasikia alikuwa na miadi St. Andrews, ili amalize matanga Je, amefanikiwa kupata goli huko?
 
article-1342317-0C991FF2000005DC-250_634x402.jpg



Giving United the Blues: Lee Bowyer scores Birmingham's equaliser
 
pole mkuu ndio ukubwa huo.
Hehee nishapoa mkuu ila hawa marefa nao sometimes uwa nawamind sana...Alafu nilishangaa sana lee bowyer bado anacheza duh. Hao watoto hawatonishangaa wakiwaachia muwafunge ata kumi.
 
Scrappy game..najilaumu kwanini nimepoteza masaa 2 ya maisha yangu kuangalia hii mechi
 
Scrappy game..najilaumu kwanini nimepoteza masaa 2 ya maisha yangu kuangalia hii mechi

mbona mechi ilikuwa nzuri mkuu? tofauti ni wote wazuri kwenye kukaba ,sidhani kama ilikuwa mbaya kihivyo.game tamu si uliona juzi unataka kila siku lol?
 
_50601240_010914283-1.jpg



Duh! Wakuu kumbe Wine bin Rooney hakufunga, bado tunahesabu

ni masaa zaidi ya 20 chacha bado hana goli kwenye open play ... ....
 
Back
Top Bottom