Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu poleni St. Andrews hakuna tende. Manda, Belo and Co. leo wameunyuti
waliposikia tunaingia kwenye kajukwaa kao ... khe khe kheeeeeeeeeee
 
mbona mechi ilikuwa nzuri mkuu? tofauti ni wote wazuri kwenye kukaba ,sidhani kama ilikuwa mbaya kihivyo.game tamu si uliona juzi unataka kila siku lol?

Aisee sie wengine tumezoea mpira wa pasi na kuachiana nafasi kidogo..mechi za misongamano tunaona kero tu.
 
Hehee nishapoa mkuu ila hawa marefa nao sometimes uwa nawamind sana...Alafu nilishangaa sana lee bowyer bado anacheza duh. Hao watoto hawatonishangaa wakiwaachia muwafunge ata kumi.
- Favouritism. Your more likely to hear Alex Ferguson criticise one of his players than see an opposition penalty at Old Trafford, and if they did get one it would be disallowed. If Utd get a penalty they're allowed to retake it until they score. If you're one nil up towards the end of the game, you'll get 15 minutes injury time (or until Utd score), if you're one nil down, you'll get 2 seconds injury time.
 
Hii kitu bado ina circulate kwenye blogs tu na maforums ya mashabiki wa arsenal, chelsea, liverpool?
 
Wakuu poleni St. Andrews hakuna tende. Manda, Belo and Co. leo wameunyuti
waliposikia tunaingia kwenye kajukwaa kao ... khe khe kheeeeeeeeeee
Hili goli wangefunga Manchester hapa mngepiga kelele miezi 3 but hamna shida still unbeaten hadi 2011
Tatizo kubwa lilikuwa kiungo,pamoja na kupangwa 5 katikati walikuwa hawapeleki mipira mbele kwa striker ikabidi Rooney & Berbatov warudi nyuma.Tulikuwa tunahitaji winga (Nani au Park)
 

Tuko pamoja mkuu, tatizo ilikua kiungo. but still unbeaten hadi 2011, na viporo!
 
Wakuu poleni St. Andrews hakuna tende. Manda, Belo and Co. leo wameunyuti
waliposikia tunaingia kwenye kajukwaa kao ... khe khe kheeeeeeeeeee

Bikra matters alot....BTW who are at the TOP of EPL...?:whoo::whoo::whoo:
 



Controversy: Edwin Van der Sar protests as Lee Bowyer celebrates his late equaliser


What you do into others wll haunt you for life. Naona marefa sasa wanawageuzia kibao khe khe khe khe lakini msiwe na shaka Mike Dean yupo kuwabeba pamoja na yule mnoko mwenzake ........
 
Jamaa kwa dakika kadhaa wametufunika kiungo. Na huyu Runi n bora arud rehab US.


Kweli kupenda kubaya siye huyu mmemuongezea mpunga? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee






Bikra matters alot....BTW who are at the TOP of EPL...?:whoo::whoo::whoo:

Jifariji tu mkuu hakuna neno .... ... na mwaka huu hamuwezi kufungwa na timu yoyote kwa sababu Wine bin Rooney anafunga magoli kama vile mnavyookota Tende kule Baghdad.

Si uliona hata D. York alipewa vidonge vyake live na pundit wa SKY SPORTS kwamba wamezoea kubebwa na marefa khe khe kheeeeeeeeeeeeeee


 
Ninachompendea furgie ni kwamba anazijua fitina za mchezo, so washabiki wa man u wala hata hatuwazi juu ya ubingwa wa uingereza mwaka huu, cha kuumiza kichwa labda kiwe kwa uefa
 
Hivi ni lini media ya England (including hao sky sports) imesema mazuri dhidi ya Manchester United?
 
Hivi ni lini media ya England (including hao sky sports) imesema mazuri dhidi ya Manchester United?

Kila siku mkuu Manure ndio kipenzi chao hata interviews Fergie anawapa SKY na BBC amewaweka kapuni kwa sababu zake au?


Manure jinsi wanavyobebwa hapa chini Nani anaushika mpira kwa makusudi kabisa then anasimama na kwenda kuweka goli kimyani na linahesabika . Manda, Belo mpo hapo?









Nani anashangilia goli lake la kitapeli ....


Khe khe kheee kweli Manure are manured.



Tunaposema mnabebwa msiwe mnabisha huo ni ushahidi lakini mtakuja na vijisababu na kulialia kama vitoto vilivyonyimwa lawalawa. khe khe kheeeeeeeeee.
 


Plagiarism.
 
Hivi hiyo mechi na spurs ilichezwa lini? Maana nishasahau matokeo. By the way katafute press conference ya fergie wiki mbili iliyopita kuhusiana na media sio unaleta upupu wako hapa.
 
Mimi, Wacha1 nitakuona hauko BIASED ku-analyze mechi (esp. Manure), siku decision inapokuwa turn against us, which i might say often happens to us, siku tukipata nafasi ya 'kubebwa' then hyo inakuwa talk of the season kwako. I cant imagine ww kwa ulalamishi huo ungekuwa Manure, sipati picha goli la offside la Drogba OT msimu jana ambalo LILIWAPA EPL TITLE Ze Bluzz, nadhani ungeongea hadi Katiba mpya itakapo kuwa ratified....I always say, it is ONLY, narudia tena ONLY controversial when the decision turns of favor of US (Manure), ila sie tukiumizwa, no one cares. Kweli nimeamini, 'mti wenye matunda........' (Malizia-Wacha......):whoo::whoo::whoo:
 
Tuone mwaka mpya tunaanza na staili gani....go go united!
 
Naona rooney kaanza mwaka na goli...Line up yetu inanipa wasiwasi kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…