Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

~Sport claim Pedro's move to MUFC
is almost done (€28m+€4m add-ons)
and preparations for his farewell
are underway.
~ Sport say that Pedro's deal at Man
United will be for five years and he
will earn €5m-a-year net. Pedro
only waiting for deal between clubs.
~ And yes; Cadena Ser spoke with
Pedro's youth coach who had
spoken to Pedro's mother who had
said Pedro will play in England next
season.

Akuje tuuu.....Nimewashangaa mashabiki wa Barcelona wanapiga kelele asiondoke ina maana leo ndo wameona umuhimu wake,mbona anavyosugua Benchi hawakupiga kelele?
 
nakuelewa kaka na nimependa unaonesha una uchungu na timu bravo mkuu
but case ya di maria kwangu ts obvious van gaal hajaihandle inavyotakiwa naamini kama angemuonesha kias gani anamuhtaj tungebenefit from that ila kinachotucost ni hyo altitude ya mjivuni van gaal

kuhusu furure ya de gea kua uncertain kwangu mimi either way was big mistake kumuachia valdez cause romero is not on his class
kuhusu loris acha totenham watupige but tungejitoa akili na kumwaga mpunga besides mtu kama begovic au yule kipa wa uholanz was better choices than romero

kuhusu romero take my word cheap is expensive ngoja ligi ianze na apate chance ya kucheza

naungana na wewe ingekuwa nipo kwenye position ya kufanya maamuz man u kwa upande wa kipa ningemchukua cech wa chelsea ningemuuza ddg kwa rm anakokupenda. Nahs ingekuwa biashara nzur na yenye faida na ambayo isinge2gharimu
 
Petr Cech hakutaka kuondoka London kwa sababu ya familia na Morinyo hakutaka kumuuza kwa wapinzani ikabidi Abramovic aingilie kati ndio maana Arsenal wakampata kiulaini
 
Ángel Di María will have a medical at Paris Saint-Germain in the next 24 hours. (Source: BBC Sport)
 
Ángel Di María is expected to undergo his medical in Doha tomorrow with the two clubs agreeing a £44.5m [€63m] fee. (Source: BBC Sport)
 
wazee wa matuid mpoooo nilipita kuwasalimia maana mnapanga full mkoko ila ft result ni 2:0 kweli psg noma
 
Ángel Di María will have a medical at Paris Saint-Germain in the next 24 hours. (Source: BBC Sport)

Akwende tu mwana kwenda Man U inasonga Mbele.........halafu ingependeza sana leo ungekuwa unaripot mtaani kwenu habar za ngao ya hisani unachomokoje, mambo ya Mtaa huu waachie wenyewe........#GGMU
 
Yule Mata kule upande wa kulia me naona anampa shida tu otherwiz ukute herrera nae ameanza ndo uwa anacheza vizuri, lakini kwa hii stly ya kuwapanga Morgan na Carrick kwa pamoja uku no.10 anakuwa depay Mata atakuwa anakimbiakimbia tu uwanjani, ile nafasi ya Mata itamfit Pedro vizuri na pale kwa depay kutamfit mata vizuri, na pale kwa young akacheze depay, young ataitajika pale fellaini atakapo kuwa ndani, kwa game na timu kama West Ham, Crystal Palace

Hii ndio inayompa shida kijana Young kila anaposikia habari za Pedro maana anajua depay anarudi ktk njia yake halisi. Ndio maana anatafakari kusain mkataba
 
Mavi ya kale hayanuki

Unachekesha sana nyie ndo mavi ya kale....😀😀😀😀.....naona mmeanza safari ya matumaini mwaka huu ya kuchukua EPL.....dohh!! Mtoto wangu ataoa bado Arsenal kuchukua tittle hiyo.
 
Unachekesha sana nyie ndo mavi ya kale....😀😀😀😀.....naona mmeanza safari ya matumaini mwaka huu ya kuchukua EPL.....dohh!! Mtoto wangu ataoa bado Arsenal kuchukua tittle hiyo.

Usinikimbie humu ndan
 
Unachekesha sana nyie ndo mavi ya kale....😀😀😀😀.....naona mmeanza safari ya matumaini mwaka huu ya kuchukua EPL.....dohh!! Mtoto wangu ataoa bado Arsenal kuchukua tittle hiyo.

Hahahaa ni safari ya uhakika dada everlenk
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa ni safari ya uhakika dada everlenk

Hahaha kila la heri aisee!! Mshinde tu tupunguze idadi ya vifo vya wanaojinyonga........niambie kaka Shefwaa mnashinda leo? Mkishinda nialike kule Chelsea tucheze kigodoro .........
 
Last edited by a moderator:
Hahaha kila la heri aisee!! Mshinde tu tupunguze idadi ya vifo vya wanaojinyonga........niambie kaka Shefwaa mnashinda leo? Mkishinda nialike kule Chelsea tucheze kigodoro .........

Team yangu iko vzuri, baada ya mechi nitakuita kule.
Sasa ni utangulizi kwnza wa Azam
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom