utaona baca wataweka vitoto!' lakini wenzangu na mimi full vibabu ............ utafikiri ndio final!'
Bacelona 10 Vs Manure 0
utaona baca wataweka vitoto!' lakini wenzangu na mimi full vibabu ............ utafikiri ndio final!'
Bacelona 10 Vs Manure 0
Game ya man u saa ngap wadau?
Naona u digging up bones...leo mechi yenu lazima niicheki maana inatangulia yetu! Amma cheer like av been a Barca fan since birth...heck, like my whole generation was spanish!!!!!!
U v got to wait to see how it unfolds for us...for all I know is we r ur next champions...EPL 2015/2016..that's for sure!!!
Ambalo hatujajua mpaka sasa ni kombe gani litaisindikiza hiyo EPL.
BTW: kuna kasahani katatangulia tar 2/aug...
Leo muendelezo.......inakusubiri uvae....
Madam.. ukipata link ya hii mechi naomba unishtue cc everlenk
Hahahahhaha!!!! Utachekwa na dunia....uko wapi mwenzetu? Hujui timu gani sasahivi yenye udhamini wa nguvu kuliko zote?.. cute b njoo mama watu wanauliza ati tumepata shavu la Adidas lini?
Hii Stream https://www.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=x_zdQhA8f5k&app=desktop ,sijui nimepatia maana haya mambo yanautaalam wake.