rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Hakika si haba...msimu ujao patachimbika..
Mkuu nilidhani ulishagive up kushangilia Man United? Angalia tusije tukakumbiza ICU msimu huu pia
Hakika si haba...msimu ujao patachimbika..
Mkuu nilidhani ulishagive up kushangilia Man United? Angalia tusije tukakumbiza ICU msimu huu pia
Unachezwa hivi mume mmoja mademu wawili
watu wangu wa nguvu kwema??
Mkuu nilidhani ulishagive up kushangilia Man United? Angalia tusije tukakumbiza ICU msimu huu pia
Eehh!!! Endelea unakuwaje?
haha, tupo pamoja na naamini msimu huu tutarudisha heshimaKwema kabisa, mzima wewe? Hope umekuja mpya siyo yale maneno ya kukatishana tamaa....😀😀😀😀
afu mbona hawaachi jezi msimu huu,??? nahitaji uzi mwekundu na mweupe
Ngoja nimuulize cute b kama kakubali, kyutibiiiiiiiiiiiiiiii uko wapi njoo huku uone mchezo mpya?
Nakubali Man United mna pesa za kuchafua dampo nasikia mmeweka dau la 100Millions(£70Millions) kwa Muller afu nasikia limekataliwa, Bayern Munich wagumu kweli. LVG naona anajua kuzitumia kama kina BR na Daniel Levy(chairman wa Spurs). Hadi sasa kashatumia bajeti aliyotumia SAF kwa misimu 2 na kaishia nafasi ya 4. Anyway, Thomas Muller mkimpata mtarudi juu(seriously).
cute b, evelenk mnaonaje katika kipindi hiki cha preseason tukitengeneza timu yetu ya watu 3 tukacheza mchezo mpya ulitwao Maulidi Kitenge ?
Unachezwa hivi mume mmoja mademu wawili
Tributes for Manchester United doctor Gail Stephenson
Top vision specialist Gail
Stephenson, who worked
with Man United for
nearly 20 years, died at
the weekend from illness
R.I.P