everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kama ni hivyo u've got long wait ahead mazee
Just wait and see if its the long time or short, thanks for your concern, now you can pass like this>>>>>>>>>>>>>
Kama ni hivyo u've got long wait ahead mazee
Kwan saivi ni Man W?
Sa hivi ndipa ya kale... Unaweza ata weka kwenye Mesa ya kulia chakula na usibuguzi watu
Kama ni hivyo u've got long wait ahead mazee
Kama falcao palimshinda hapo unawezaje kujenga Oman kua shwernstaiger atapaweza wakat wote wametua hapo kwa wazo la huyo mdachi???
Man vibonde
Utakaa sana
Inaniuma???Inakuuma nini?? na wewe sio fan wa united!!!
Just wait and see if its the long time or short, thanks for your concern, now you can pass like this>>>>>>>>>>>>>
Toka jana kuna watu humu wanatutafutia ban dawa yao kuwapuuza tu, watachonga sana sisi mwendo mdundo...
hayo maneno yako tu. ila utaelewa tu. mjiandae na timu zenu mwendo wa dozi tu
Inaniuma???
Like that uunh?? Haha
Tatizo sio mipasho kwani ni uongo kua Manchester united ni mbovu??
Like that uunh?? Haha
Wishes zako hazitokuwa mzee. ...team sio mbaya kama wewe unavyotaka tukuamini hapa. ...unahukumu team kwa game moja tena imeshinda? Kumbuka league bado haijaanza so weka akiba ya maneno.
Tatizo wamezoea mipasho.
Jana nimemwona yule mwehu aliyekuwa anatusumbua mchana yupo celebrate anachamba kama mwanamke nikasikitika.
Kwa hiyo madam hawa ni wa kuwapuuza.
Ndo maana shemeji yako RRONDO alisema watu wabishe kwa vidhibitisho sio mtu ana panic kwa ku fuata upepo tuu..