Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wajinga ndio waliwao!' bayarn wamewauzia kibabu, mnataamba, wakat wenzenu bayarn sahivi wanakaribia kupata saini ya Vidal ............
 
moyes was not that bad(relatively) ukimcompare na van gaal. moyes 64 points van gaal 70points not to mention moyes never had di maria,ander herrera,luke shaw,marcos rojo,daley blind and radamel falcao. mata for the first half of the season and de gea on his top form.

Moyes alishindwa nini kusajili?
Pesa alipewa za kutosha, huo sio uzembe wa timu. Ni uzembe wake kushindwa kuwaleta hao.
Kila kocha ana msimamo wake na filosofia yake ya kuendesha timu cha muhimu ni kumsupport kocha wako. Anapokosea rekebisha na uweke mawazo yako.
Ila kusema LVG sio sawa kwa united unakosea na sio relevant kwasasa kwasababu ameshakuwa kocha you can do nothing about it.
Hata hao makocha unaosema waje united hawatafanya kile unachotegemea, na tactical team ya united wamekaa wakaona LVG anafaa ndo maana akaitwa. Asingefaa asingeitwa.
Kumbuka hata Fergie alipingwa kuliko hata huyo LVG. Na amewaprove wrong.
 
Van Gaal ni kocha mzuri anahitaji kupewa nafasi zaidi,alipokea timu katika wakati mgumu sana na pia amejitahidi kuifikisha angalau tulipohitaji siyo mwanzo mbaya,katika mengi tuliyoyatamani angalau moja katutimizia, toka msimu umeanza siku kwa siku tulipiga Hatua nzuri tumekuja kuporomoka baada ya Carrick kuumia,mechi nyingi za nyumbani tulifanya vizuri sana nadhani kama sikosei tuliongoza,ila za ugenini nyingi tulichemsha na zaid tatizo ni kukosekana first eleven inayoeleweka,natumai atakuwa amejifunza wapi alianguka na atarekebisha.

Pia mkuu unaposema tuwashukuru Liver umekosea sana kila mtu kavuna alichopanda,hakuna aliyesaidiwa kuwepo pale alipokuwepo,kila timu ni kwa juhudi zake na imefika ilipofikia, offcoz tulishinda kibahati Bahati lakini haikuwa bahat ni kazi watu walifanya,ukiangalia hata mechi za mwishoni za Chelsea ilikuwa hivyo hivyo ushindi wa Bahati.......kikubwa tunahtaji kuufurahia mpira+Magoli, tuweke subira tutafika tunapohitaji.....

EPL haina ushindi wa bahati mkuu.
Timu inapiga mpira wanachukua ushindi wanasepa.
Liecester hawakuwa na bahati kutufunga 5-3 ila ni uzembe wa defence yetu ndo uliwapa wao ushindi.
 
Yale yale ambao tunaongea hapa kila siku ,Kama ni mshabiki wa Man United umewahi kuona hizi game

Man United 2 Bayern Munich 1 (1999-hii sina haja kuilezea)

Juventus 2 Man United 3 (1999-game ambayo imefanya Roy Keane anaheshimiwa na mashabiki wa United licha ya ugomvi wake na SAF)

Man City 3 Man United 4 (Owen anafunga dakika ya 95)

Man United 2 Man City 1 (RVP anafunga freekick dakika ya 92)

Spurs 3 United 5

Manchester United wana historia kubwa ya kubadilisha matokeo dakika yeyote na hii hali iliondoka kabisa wakati wa Moyes,tulikuwa tukitangulia kufungwa ndio biashara imekwisha at least LVG ameanza kurudisha hiyo hali

Again unakumbuka Man United ya SAF iliwahi kupata hivi vipigo
Chelsea 5 United 0
Man United 3 Blackburn 4
Man United 1 Man City 6

LVG alifanya makosa mengi alivyokuja but jinsi siku zilivyokwenda alikuwa anayarekebisha na msimu uilipita

1.Kutumia 3-5-2 -hili lilikwisha
2.Kuwaweka benchi Herrera na Mata-nafikiri uliona baada ya hawa kupewa nafasi
3.Kushindwa kumtumia Di Maria vizuri-hili bado
4.Substitution zake zilikuwa mbovu

Pia kuna mambo ambayo ameyafanya
1.Kusaidia kupata baadhi ya wachezaji ambao ingekuwa ngumu kuwapata (Depay,Bastian,Blind)
2.Kuinua viwango vya wachezaji kama Smalling,Young,Fellaini ambao walionekana magarasa
3.Amejitahidi kuondoa wachezaji wengi ambao mwishoni hawakuwa na msaada(Nani,Buttner,Cleverley,Anderson,Rio)

Umezungumzia kufungwa na Chelsea,hao wakiamua kupaki basi lao hata kina Messi hawafurukuti,Jiulize miaka 20 iliyopita Loserfool wamemaliza mara ngapi juu yetu na unasahau kuwa chini ya LVG tuliwafunga Loserfool kuanzia pre-season kule Marekani na kwenye ligi tukawafunga mechi zote.

Huu ndio msimu ambao tunaweza kufanya assesment kwa LVG,last season tulikuwa na Carick tu alivyoumia tukapata taabu sana ikamlazimu kumpanga Rooney hiyo nafasi ndio maana amewaleta Morgan na Bastian,tumepata beki wa kulia.Msimu uliopita majeruhi yalitusumbua sana ndio maana anajitahidi kununua wachezaji kuondoa hilo tatizo.

Kabla hujamwambia afanye assessment ya LVG msimu huu aende akamfanyie wenger misimu 10 ilopita au Brendan misimu yake Liverpool.
Kifupi msimu huu ndo utaonesha uzuri na ubovu wa LVG.
 
Unaongea kama mlevi wa machicha.

kubalini!' mmeuziwa kibabu!' injury prone!' ............. hahahahaha!' watu wamechukua hela sahivi wanataka kununua Vidal tena kwa hela ndogo sawa na bure!' wakat Vidal aliikataa Manure kwa dau kubwa.
 
Hela sio tatizo Man United ,Ryan Giggs ana makombe mengi kuliko timu yako tangu ianzishwe
 
Hahaha hiki ndio kilichobaki siku hizi. Hakuna haja ya kuja na majibu kipoint

Kuna watu wana matatizo "Anasema tumeuziwa kibabu tena injury prone while Bayern wamemnnua Vidal kwa bei chee".Hajui kwamba Bastian ana miaka 30 Vidal ana 28,Bastian amenunuliwa pauni mil 14 while Vidal ananunuliwa kwa pauni mil 28 ni mara mbili ya aliyonunuliwa Bastian.Hazungumzii kina Salah,Cuadrado na Luis Felipe waliwanunua bei gani
 
Vidal mwenyewe in injury prone
 
11214237_1504687202904824_7237174123903569403_n.png
 
EPL haina ushindi wa bahati mkuu.
Timu inapiga mpira wanachukua ushindi wanasepa.
Liecester hawakuwa na bahati kutufunga 5-3 ila ni uzembe wa defence yetu ndo uliwapa wao ushindi.

Upo sahihi mkuu ndo maana nimepinga kuita bahati,na kila timu ilifika sehemu stahili kutokana na kile ilichopanda.
 
Kuna watu wana matatizo "Anasema tumeuziwa kibabu tena injury prone while Bayern wamemnnua Vidal kwa bei chee".Hajui kwamba Bastian ana miaka 30 Vidal ana 28,Bastian amenunuliwa pauni mil 14 while Vidal ananunuliwa kwa pauni mil 28 ni mara mbili ya aliyonunuliwa Bastian.Hazungumzii kina Salah,Cuadrado na Luis Felipe waliwanunua bei gani

kama haya maelezo yako ni ya kweli.....basi niko sahihi sana kuwasoma watu kama hao na kupuuza! sipotezi nguvu kuwajibu!
 
Back
Top Bottom