hicho ndio tunachokitaka, ushindani wa namba ukiwepo sizani kama kuna mchezaji atavurunda
'Valdes is not selected [for the tour] because he doesn't follow my philosophy. The philosophy is how you play football and how you maintain your match rhythm,' said Van Gaal.
![]()
Hofu ndo nnapohofia....watu 12 wakihombania nafasi 4 approx 1:3 sasa inakua sio ushindani healthy tena. Au labda useme atatafuta the best then January watu wasepe.
Uzuri - advantage yetu kwenu - mpaka mpate hiyo standard and form muitakayo sisi tuko mbali kinoma. Endeleeni kusajili tu!!!
Naona usajili wa Man United umekuuma sana chifu.
Kwani shida yako nini haswa? Maana hueleweki!
Kipi kinakukera kwa United kuwa na viungo wengi? Mwaka jana mlisema United ina ma-lefties wengi! Sasa mnasema ina viungo wengi.
Kwa kifupi, it's none of your business. Let United be and done its own business.
Why on earth would you refuse to play
for the reserves if it gives you a chance to
get match practice and show the manager
what you can do? It's one thing to not be
massively enthusiastic about it, but to
refuse is just stupid. Glad we're getting
rid if that's the case.
I am actually HAPPY for you guys...!
Just sad for the players who signed for you guys!!!!
Tulia uone watu wanacheza mpira.
Nyie mtakuwa mbali kwenda wap?
Van Persie na Valencia wamecheza sana reserve.
Feel sad first for couldrado, falcao, Remy and begovic b4 you get dissapointment with MUFCI am actually HAPPY for you guys...!