Kuna wimbo wa dini unaitwa KIZUNGU ZUNGU KIMEWAPATA, sijui nani kaimba, Mikel obi, loftas cheek, Willian, osca, matic, fabregas, hazard, ramires, zouma, bado mlikua mnamtaka turan kabla hajawatosa, hao huwaoni ila mid za utd tu? Msimu ujao tunamechi nyingi tunahitaji rotation ya kikosi sio kama Chelsea hazard na Terry wanacheza msimu mzima, msimu uliopita tulikua na kikosi chembamba ndio maana mmoja akiumia tulikua tunahangaika sana, now we are back mnaanza kupatwa na kizunguzungu. Kocha alishajua sehemu za kuzifanyia marekebisho ndio anachokifanya sasa
#GGMU