Nikirud kwa yule m2 anayemcompare LVG na DM, cjui anatumia fact gan bt LVG ni best manager in the world coz anaipa timu ushindi na kucheza mpira wa burudan, kamwe hauwez mfananisha na kina mourinho na yatakuwa ni matuc makubwa sana kwake
Yani hivi sasa man yuu wanakeraaa wachezaji wazee wanini?? Mtu anamiaka 30 keshaishaa utamuu ndio analetwaa aaaaghrrrr wanakeraaa..
Nikirud kwa yule m2 anayemcompare LVG na DM, cjui anatumia fact gan bt LVG ni best manager in the world coz anaipa timu ushindi na kucheza mpira wa burudan, kamwe hauwez mfananisha na kina mourinho na yatakuwa ni matuc makubwa sana kwake
Nawafaham..sera za man u, zilikuwaga ni kusajil vijana..ila now days kusajili aged kidogo sio vema,
Shweinstiger is one year older than Rooney, and 6 months older than ronaldo, but arsenal fans make you think is older than Wenger
tutakuwa pamoja kwa kipindi chote cha jukwaa letu
Inawezekana kweli nina chuki binafsi na LVG but sijui how.Ila ipo siku wengi mtakuja kukubaliana na mimi.
Tatizo bado tuko na watia nia wa ccm tukimaliza tutakuuliza umri na vikombe alivyo chukua lvg kulinganisha na umri na vikombe vya Special One period
Hahahahaha!!! Nilikumiss sana kaka yangu mwee!! Milner,Ings, Flamino ndo wa kututisha sisi??? Subirini kichapo cha chap chap tarehe ishirini na ngapi vile Ngoja niicheki time table.....vipi sasa hivi sera yenu ni Rogers OUT au IN? Ile Jezi uliyoificha yako na ya aunt yangu umeanza kuzivaa au bado ziko kabatini?
BR tutamfukuza lkn Majogoo yanatisha sana na najua mnayaogopa mno sasa