Doh! Yaani hao unawaweka levo moja na LvG??? Kwa yapi waliyoyafanya zaidi yake? Kwani wewe kocha mzuri unampimaje?
Finally mnaa World Cup winner na nyie lol.But they lied when they said that there's no a country for old man , Manchester United just proved them wrong.Now its official
Najiunga #TeamNakapanya . Huyu jamaa anajua mpira kuliko 100,000% ya Washabiki wa Manchester United humus hahaha.
Nahamia #TeamNakapanya . Huyu jamaa anajua mpira kuliko 100,000% ya Washabiki wa Manchester United humus hahaha.
Finally mnaa World Cup winner na nyie lol.But they lied when they said that there's no a country for old man , Manchester United just proved them wrong.
Finally mnaa World Cup winner na nyie lol.But they lied when they said that there's no a country for old man , Manchester United just proved them wrong.
Kama kawaida yako naona upo na vijana wako lol
Naona huzungumzii hii story : Manchester United is delighted to announce it has reached agreement with Bayern Munich to sign midfielder Bastian Schweinsteiger, subject to a medical and personal terms.
Sasa tunakwenda kuchukua Striker.... Utd mpaka raha
Finally mnaa World Cup winner na nyie lol.But they lied when they said that there's no a country for old man , Manchester United just proved them wrong.
Labda nikuulize kitu bro, van gaal umeanza kumfahamu lini?
Najiunga #TeamNakapanya . Huyu jamaa anajua mpira kuliko 100,000% ya Washabiki wa Manchester United humus hahaha.
wataelewa tu, Morgan nae kaondolewa kwenye list ya soton itakayocheza pre season kuanzia Leo na Valencia baada ya utd kupeleka ofa nyingne
Kwa maana hiyo unampendekeza DM kuliko LVG kwasababu yakuwa na draft nzuri ya wachezaji aliokuwa anataka kuwasajili??
Unadhani kinachomvutia mchezaji kusajiliwa ni kipi??
Tofauti tuliwanunua wakiwa damu mbichi sio kama Bastian. Btw kwa nini mmemtosa RVP then mkanunua mdogo wake lol? Nyie jamaa hamna uvumilivu wala nini,mfano kina Nakapanya wameshachoka.Wazee tulionao ni Carrick,Valdes tu RVP anauzwa haya Metersecker,Cech,Flamini,Rosisky,Arteta,Carzola
Lvg atawaletea Kluivert Mzee mwingineKama kawaida yako naona upo na vijana wako lol
Naona huzungumzii hii story : Manchester United is delighted to announce it has reached agreement with Bayern Munich to sign midfielder Bastian Schweinsteiger, subject to a medical and personal terms.
Sasa tunakwenda kuchukua Striker.... Utd mpaka raha
Moyes aliwataka Kroos,Herrera,Bale,Fabregas,Alcantara lakini wote walimkataa but Fellaini alimpata kiulaini but angalia Pep alivyowapata Thiago,Alonso,Reina,Benatia au Jose alivyowapata Costa,Cesc,Zouma
Tatizo tumeshabikia hii timu most of time iko on top sababu ya SAF
Petr Cech ni kipa umri wake haujalishi sana ndio maana sijawacheka mlivyomsaini Valdes, isitoshe Van Der Sar alihamia United akiwa 34yrs.Hivi Petr Cech ana umri gani?
Doh! Yaani hao unawaweka levo moja na LvG??? Kwa yapi waliyoyafanya zaidi yake? Kwani wewe kocha mzuri unampimaje?