Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwetu sisi mashabiki mafanikio ya klabu ni kutwaa mataji,hayo masuala ya fedha sijui kitu sisi hayatuhusu.Kuhusu kutofanikiwa na LVH namaanisha hatutatwaa mataji chini ya LVG.

What makes you so sure hatuchukui vikombe?
 
Reactions: Nzi
Kocha ana influence pia kupata aina ya wachezaji Moyes angehamisha wachezaji wa Everton pale,angalia wachezaji anaosajili Rodgers pale Liverpool

Moyes alikuwa na draft nzuri tu ya wachezaji aliotaka kuwasajili,sisemi kwamba Moyes ni kocha mzuri sana kuwepo Man utd ila ninachosema mimi ni bora Moyes kuliko LVG.
 
Moyes alikuwa na draft nzuri tu ya wachezaji aliotaka kuwasajili,sisemi kwamba Moyes ni kocha mzuri sana kuwepo Man utd ila ninachosema mimi ni bora Moyes kuliko LVG.
Kwa maana hiyo unampendekeza DM kuliko LVG kwasababu yakuwa na draft nzuri ya wachezaji aliokuwa anataka kuwasajili??
Unadhani kinachomvutia mchezaji kusajiliwa ni kipi??
 
Reactions: Nzi

umesema vizuri,lakini hoaja ni je;Man utd imekuwa tayari kurisk success yake tuliyoizoea ya kutwaa mataji at the expense ya kumpa Gigs uzoefu?what about fans?are we ready for that?(for me I am not ready),what about sponsors wanaomwaga mapesa yao klabuni je wako tayari kwa hilo?
 
Moyes alikuwa na draft nzuri tu ya wachezaji aliotaka kuwasajili,sisemi kwamba Moyes ni kocha mzuri sana kuwepo Man utd ila ninachosema mimi ni bora Moyes kuliko LVG.

huyo moyes unamtetea na hiyo. draft nzuri ya wachezaji hapana
 
Labda nikuulize kitu bro, van gaal umeanza kumfahamu lini?
 
Reactions: Nzi
Na hao wakija na wasipo perform utasemaje?

What if LVG does a good job than them?

Ndiyo maana maana mara nyingi namaliza kwa kusema....labda LVG aniprove wrong....otherwise bado sijamkubali LVG,tena nikikumbuka baadhi ya mechi ambazo LVG maamuzi yake ya kijinga yalitucost hapo ndiyo namchukia kabi
 
with a serious note,I prefer Moyes to LVG

Inaonekana una personal reason Mzee, makocha huwa wanatengeneza CV zao kwa mafanikio huko nyuma,LVG ukiangalia CV yake huko nyuma ni wachache wanaomfikia kafundisha na kuchukua ubingwa Ajax,Barcelona na Bayern Munich ndio maana alipata kazi United .EPL ni special case ni ngumu sana kupata mafanikio rahisi kama hujazoea unless uikute timu ina kikosi kizuri.Moyes sio kocha mbaya but alipewa timu kipindi kigumu mno mtu kama LVG ndio alikuwa anatufaa
 
Reactions: Nzi
Moyes alikuwa na draft nzuri tu ya wachezaji aliotaka kuwasajili,sisemi kwamba Moyes ni kocha mzuri sana kuwepo Man utd ila ninachosema mimi ni bora Moyes kuliko LVG.

Moyes aliwataka Kroos,Herrera,Bale,Fabregas,Alcantara lakini wote walimkataa but Fellaini alimpata kiulaini but angalia Pep alivyowapata Thiago,Alonso,Reina,Benatia au Jose alivyowapata Costa,Cesc,Zouma

Tatizo tumeshabikia hii timu most of time iko on top sababu ya SAF
 
Reactions: Nzi
calibre ya Diego Simeon,Jurgen Klop,Antonio Konte etc but not LVG...never...

Doh! Yaani hao unawaweka levo moja na LvG??? Kwa yapi waliyoyafanya zaidi yake? Kwani wewe kocha mzuri unampimaje?
 
Please Nakapanya and #allMANUfamily let us have a positive attitude to our team, in The United we trust, we will make it, let our best wishes be with LVG so that our dreams come true. Never say failures, Confess Victory always.....GGMU
 
Attachments

  • 1436611892685.jpg
    14.4 KB · Views: 146
Last edited by a moderator:
Fenerbahçe​ chairman Aziz Yildirim:
"The Robin van Persie​ transfer is
done."
 
Please Nakapanya and #allMANUfamily let us have a positive attitude to our team, in The United we trust, we will make it, let our best wishes be with LVG so that our dreams come true. Never say failures, Confess Victory always.....GGMU
Hahaha kimeanza kunuka humu kabla ligi haijaanza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…