Kyara Atufigwe
Senior Member
- Mar 29, 2015
- 120
- 68
Mkuu, hii si ndo alipiga bonge la shuti pale OT na mpira kwenda wavuni!? Man U ya kipindi hiko acha kabisa Kaka!!!
Pale kati ukimkuta Kaka Scholes lazima upoteeeeeeee!!! Nyuma wanalindwa na Vidic na Rio, usinikumbushe Mkuu. Ila hii Mido Scholes ni moja ya viungo bora kabisa waliowahi kutokea. Hataachana sana na Modric but Scholes alikuwa mzuri sana, anapiga mashuti na mipira mirefu kwake ni kawaida sana. Asante sana kwa kumbukumbu!!!
Modric amkaribie Scholes?! Matusi hayo! La masia kwenyewe kina xavi walikuwa wanamsoma scholes!