ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
wee kaa tayari kutuchukia tena si usubiri muda,halafu umefanana sana na Obama?ni nduguyo?Obama ni rafiki yangu sana
hahahaha ............ ni pacha wangu, mama mmoja tumbo mbalimbali. ndio tusubirie kwani mbali basi, miezi miwili tu imebaki.