Nimepamiss humu
Karibu mkuu usipotee ivyo bana
Nimepamiss humu
mshageuza thread yetu sehemu ya malavidavi enhe!?
Ni moja ya Upendo na urafiki!
Ntuzu mambo jamani? Na wew nimekumisi sana adi nakonda juu yako.Ni Upendo na ndio maana ya michezo hiyo.
nimekuja kwa kasi nisome kama kuna taarifa zozote za usajili nakuta watu wanapigana mabusu!
Hahahaaaaaa yaniii weweeeee
Karibu mkuu usipotee ivyo bana
umenishinda tabia
Ligi ianze tuu mkuu, hizi transfer gossiping hazina mashiko sanaaaaa
Ligi ianze tuu mkuu, hizi transfer gossiping hazina mashiko sanaaaaa
Ligi ianze baada ya Van Gaal kusuka kikosi cha makombe na kurekebisha sehemu zilizo mbovu...
Asante jamani mwaaaaa nawe pia.....mie mzima sana jamani nakumiss nami zaidi hebu nifungulie mm tu ruhusa ya kuingia chumbani .,...lol
uefa qualification draw ni Leo mida ya saa saba
Ndio nini? Sijaelewa mkuu nidadafulie