Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ratiba ya mashindano ya lile kombe la ulaya ambalo barcelona kachkua juzi kati lakini ni ratiba ya hatua ya mtoano kwa zile timu zilizoshika nafasi kama ya manchester united!ndio tunaanzia huko,tukifungwa tunatolewa asubuisubui!

usipoelewa hayo maelezo najiua!

Asante mkuu nimeelewa kabisa yaani. So ndo leo saa saba eeeh.
#redforever
 
ratiba ya mashindano ya lile kombe la ulaya ambalo barcelona kachkua juzi kati lakini ni ratiba ya hatua ya mtoano kwa zile timu zilizoshika nafasi kama ya manchester united!ndio tunaanzia huko,tukifungwa tunatolewa asubuisubui!

usipoelewa hayo maelezo najiua!
Manchester IPO hatua ya play off hatuanzii hapa, atakae pita kwenye hii hatua ndio tutakutana nae kwenye play off
 
1434967978750.jpg
Kiruuuuuuuuuuuuu mwambie aache wivu jamani mimi chikuibi.
Dada everlenk usimfiche bhana Ntuzu ivyo unamnyima haki yake

Koh koh koh koh koh.

Kanipa majukumu ya kulea watoto.
 
Last edited by a moderator:
ratiba ya mashindano ya lile kombe la ulaya ambalo barcelona kachkua juzi kati lakini ni ratiba ya hatua ya mtoano kwa zile timu zilizoshika nafasi kama ya manchester united!ndio tunaanzia huko,tukifungwa tunatolewa asubuisubui!

usipoelewa hayo maelezo najiua!

Nyie hata kupita hamtapita!' ...........
 
Nimesikia Ramos anataka kuja Man Utd kama ataondoka R.M. Vipi atatufaa huyu??
 
mlikuwa na miaka miwili ya furaha mnafurahia tulivyopoteza makali yetu...sasa mtaanza kutuchukia tena kama zamani!tupo tayari kuwaona mnatuchukia tena=tunaanza kuwararua tena na tena na tena

whaaat?!' makali??? kwa huyo kocha wenu kisoda?!' Labda muanze kuwahonga tena marefa!' ............ mtaturarua kw kikosi gani mlichokua nacho!' hicho cha kina Valencia na A.Young hahahahaha......
 
wee kaa tayari kutuchukia tena si usubiri muda,halafu umefanana sana na Obama?ni nduguyo?Obama ni rafiki yangu sana
 
Back
Top Bottom